Search results

  1. GoJeVa

    SoC03 Tanzania tajiri iliyokumbatia wakwasi wachache mafukara wengi

    TANZANIA TAJIRI, ILIYOKUMBATIA WAKWASI WACHACHE MAFUKARA WENGI. Utangulizi: Makala hii itazungumzia mchango wa viongozi wetu juu ya kulinda rasilimali na utajiri uliomo ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Makala hii imeandikwa kwa lengo kubwa la kukumbusha viongozi wetu juu ya wajibu wao kwa...
  2. GoJeVa

    SoC03 Tiba ya msongo wa mawazo

    TIBA YA MSONGO WA MAWAZO. Utangulizi. Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuzongwa na mawazo hasi ambayo mara nyingi hupelekea matokeo mabaya Kwa muhusika hasa pale asiposaidiwa au asipojisaidia kutoka kwenye changamoto hiyo. Tatizo hili limekuwa ni jambo mtambuka Kwa kizazi chetu, na hii...
  3. GoJeVa

    SoC02 Tufahamu wabantu na Lugha zao(Lugha za kibantu)

    Hii ni makala inayohusu elimu, kwa sababu dhana ya elimu inasema... ."Elimu ni njia ambayo hutumiwa na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine." Kwa hiyo hayo ni maarifa ambayo nimeyafikisha kwa hadhira ili ambao walikuwa hawayafahamu wayafahamu.
  4. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Ahsante kwa mrejesho.....naenda kuipitia makala hiyo sasa hivi..
  5. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Ahsante kwa mrejesho.....naenda kuipitia makala hiyo sasa hivi..
  6. GoJeVa

    SoC02 Tufahamu wabantu na Lugha zao(Lugha za kibantu)

    TUWAFAHAMU WABANTU NA LUGHA ZAO(LUGHA ZA KIBANTU). MFANO WA LUGHA ZA KIBANTU. Kiswahili na lahaja zake: Tanzania, Kenya, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, Burundi, Komori, Mayotte, Msumbiji, Somalia. Kinyarwanda: Rwanda. Kirundi: Burundi. Lingala:Angola, Jamhuri ya Afrika ya...
  7. GoJeVa

    SoC02 Katiba Mpya ni haki ya Wananchi, sio huruma ya Watawala

    Sawa ahsante....naenda kuipitia hiyo makala.
  8. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Hapo inategemeana na makubaliano yenu.
  9. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Ni kweli kabisa, saa hizi hata mimi najiona utulivu umeongezeka nikiwa na`trade.
  10. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Sawa sawa mkuu....nimekuelewa, nitaendelea kufanya juhudi.
  11. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Aahahhhah.......mwenyewe nakomaa nayo, ila kwa sasa nafanya na practice....kama Forex nina hadi real account.
  12. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Sorry mkuu...kama una kitabu soft copy(leo au siku nyingine) cha hizo forex au mambo ya hisa na mengine kama hayo, tusaidie tuchangamshe vichwa.
  13. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Yap ndio icho kitabu.
  14. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Ni kitu kizuri....kwa ushauri wangu inabidi ujifunze na sio kumpa mtu pesa akufanyie biashara.........hapo chini nime` attach na kitabu, ambacho nami nilianzia kujifunzia Forex. kiangalie kama kitakufaa...... pia jitahidi kutafuta maarifa mengi zaidi ili kuwa vizuri.....hicho kitabu ni kama...
  15. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Hapo inafuatana na makubaliano yenu.
  16. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Thanks mkuu........umenijenga.....thanks.
  17. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Ahsante mkuu kwa elimu nzuri, kupitia maandishi yako pia nimeongeza kitu kikubwa sana kwenye akili yangu, vitu vigumu umevielezea kwa lugha nyepesi yenye kueleweka.....upo vizuri. Pia kwa upande wangu bado naichimba Forex kiundani zaidi natamani siku moja niwe Forex guru.
  18. GoJeVa

    SoC02 Dondoo kuhusu Forex kwa wasioijua kabisa

    Njia rahisi kabisa ya kufungua account ya demo, ni ku download program ya “META TRADER 4” kwenye simu yako au kwenye computer yako, na baada ya ku install programu hiyo, moja kwa moja (automatically) itakutengenezea account ya demo ambayo utaweza kufanya trading za majaribio wakati ukiendelea...
  19. GoJeVa

    SoC02 Mawazo ya biashara hapa(hasa kwa wajasiliamali)

    PATA MAWAZO YA BIASHARA HAPA(HASA KWA WAJASILIAMALI). Andiko la leo, nitaongelea kuhusu biashara mbalimbali ambazo mtu mwenye mtaji uwe mkubwa au mdogo anaweza kuwekeza. Hivyo jongea katika huu ukurasa upate au uongeze maarifa juu ya biashara mbalimbali. Nitaanza kwa kuorodhesha biashara hizo...
Back
Top Bottom