Search results

  1. N

    Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

    Wadau naomba msaada, Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi mpaka akakata mawasilino, nikamwomba msamaha ili kujua shida ni nini? Akaniambia nambania kuzama...
  2. N

    Ni nini mtazamo wako wewe mwanandoa katika scenario hii

    Habari wana jamii, Ni takribani miaka miwili imepita tangu nimeolewa na tuna mtoto mmoja. Mume wangu huyu alifiwa na mke wake wa kwanza miaka mitano iliyopita na akamwachia watoto wawili ambao tunaishi nao pia. Basi mimi sio mzuri sana na mtembeleaji wa social network sababu ya ubusy wa kazi...
  3. N

    Honda CRV inauzwa jijini Mwanza

    Habari Gari aina ya HONDA CRV inauzwa hapa jijini Mwanza. Inaingia nchini March, 2015. Namba ya usajili ni DDM, bei ni 10m. kwa mawasiliano piga namba. 0765072213 Picha zitafuata kesho
  4. N

    Mwanaume kupeleka posa

    Hi all Najua kuna mila na desturi za kibantu ambazo huwaga zinaingiliana. Sasa nauliza hivi suala la mwanaume kupeleka posa huwaga anapeleka baada ya kumtambulisha mwanamke kwao au kabla. Kuna couples nilishagaziona wanaanzia kwao mwanamke na kuna zingine wanaanziaga kwao mwanaume. Je...
  5. N

    Je kuna ulazima?

    Kristu..... Kuuliza sio ujinga, ikitokea umeachana na mpenzi wako kisha ukapata mchumba. Je kuna ulazima wa kumjulisha x wako kuwa umepata mchumba? Let say mnaishi mikoa tofauti ambapo sio rahisi kwa yeye kupata habari zako isipokuwa kupitia kwako? Ukishamjulisha na mipango ikaendelea...
  6. N

    Tabia za boss wangu zinanikera

    Salaaaam wanajukwaa hili, Awali ya yote namshukuru Maulana kwa wingi wa Rehma zake kwetu, ndio maana tumekutana tena katika jukwaa hili Back to topic, mie hapa ni Cashier by professional. Nina boss wangu ambaye nareport kwake. In short tuko wawili tu katika office yetu. Boss huyu kiukweli...
  7. N

    Am tired of this, please help

    Hi everyone! Kwa takribani miezi minne nimekuwa nikijihudumia mwenyewe, the reason behind ni kuwa boyfriend wangu yuko busy kiasi kwamba napata penzi kwa mgao. I don't like to cheat on him, but naona kama ananilazimisha vile. Nimegundua njia mbadala, je ina madhara? Sio kwamba sitongozwi ila...
  8. N

    Huyu mkaka jamani lol

    Hi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost...
  9. N

    Kuumwa kichwa baada ya kuhisi harufu kali ya perfume

    Habari za jioni JF Doctor, Mimi ni tatizo moja, nikihisi harufu kali ya perfume huwa naumwa kichwa. Je ni kawaida au nitakuwa nina tatizo la allergy?? Asanteni.
  10. N

    Ushauri kwa ndoa hii tarajiwa

    Hi all Rafiki yangu mdada anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu, na ndoa hiyo itafungwa kwao mwanaume (uhayani - Bukoba) tatizo ni kwamba huko Bukoba hana hata ndugu wa kuvuta na kamba wala rafiki. Swali je inawezekana kufikia na kutokea hotelini? Au anaweza kufikia hapo hapo ukweni...
  11. N

    Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

    Hi all, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda. Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony...
  12. N

    Swali kwa wanandoa

    Hi MMU, Je kuna tatizo gani iwapo kaka wa bwana harusi mtarajiwa kuwa msimamizi (bestman) wa bwana harusi huyo? Note: kaka atasimamia harusi hiyo yeye na mkewe. Ahsanteni.
  13. N

    Moto mkubwa Darajani Zanzibar

    Kuna moto mkubwa umezuka Darajani Zanzibar, makontena yanayohifadhi nguo yanateketea now. Source: Radio One
  14. N

    Vipi mwanamke atumie vidonge kutoa mimba

    Hellow JF Doctors Mnaweza kutembelea hii website kisha tukajadili abortion
  15. N

    Kitambi kwa mwanamke

    Hi all Mie ni mwanamke, ninawezaje kupunguza kitambi (tumbo kubwa) bila kufanya mazoezi? Labda kwa kula vyakula n.k Asanteni
  16. N

    Kosa langu li-wapi?

    Hali zenu wanaMMU? Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa nafanya kazi katika Ofisi fulani hapa DODOMA alitokea baba mmoja akawa mteja wetu mzuri kiasi kwamba hawezi kumaliza siku mbili hajaja kufanya kazi zake. Hata kama hana kazi ya kufanya alipita kutusalimia. Yule baba alinipenda sana "Sio...
  17. N

    Kupanda kwa Gharama za BIMA "Serikali tuhurumieni wananchi"

    Gharama za chini kwa bima ya kawaida yaani third party kwa magari ya mizigo yaani Trucks yamepanda kutoka Tshs 100,000/- mpaka Ths 750,000/- magari ya mafuta yaani tankers kutoka Tshs 150,000/= mpaka Tshs 1,000,000/- GHARAMA HIZO NI KWA GARI ZOTE ZA MIZIGO IKIWA NI PICK UP AU CANTERS AU...
  18. N

    Natafuta nyumba Jijini Mwanza

    Happy holidays wapendwa wana jamii forum. Natafuta nyumba ya kupanga Jijini Mwanza. Sifa:- 1. Iwe na vyumba vitatu vya kulala, sebule na jiko. 2. Iwe maeneo ya barabara ya Airport yaani Makongoro road. 3. Isizidi 2,500,000/= N.B. Sihitaji dalali kwani wamenilia pesa sana...
  19. N

    LAWAMA: Hasa toka kwa wanawake

    Habari za jumapili mabibi na mabwana..... Ningependa leo tujadiliane kuhusu LAWAMA hasa kutoka kwa wanawake. Kwa mfano, mmeo/boyfriend wako anapenda uwe unamjulisha ratiba zako. Ukitoka kazini au kwenye biashara zako utapitia wapi mpaka unapofika nyumbani lakini kwake yeye ni kinyume haweki...
  20. N

    Sijielewi

    Asalaam Aleikum! Bwana Yesu asifiwe! Nilimpenda sana kaka mmoja aliyekuwa mwalimu wangu, kumbe na yeye kwa wakati huo alikuwa ananipenda ila hakutaka kuniambia. Tuliheshimiana sana pia tulikuwa marafiki sana. Baada ya kumaliza chuo niliondoka mkoan hapo lakini nawasiliano yaliendelea, hapo...
Back
Top Bottom