Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Happy holidays wapendwa wana jamii forum.
Natafuta nyumba ya kupanga Jijini Mwanza.
Sifa:-
1. Iwe na vyumba vitatu vya kulala, sebule na jiko.
2. Iwe maeneo ya barabara ya Airport yaani Makongoro road.
3. Isizidi 2,500,000/=
N.B. Sihitaji dalali kwani wamenilia pesa sana. Wanajamii forum ni ndugu. Tumekuwa tukisaidiana pasipo malipo yeyote. Nami naomba msaada wenu.
PM zinarihusiwa.
Ahsanteni.
UPDATE
Nilisitisha zoezi la kutafuta nyumba kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Narudi tena kwenu wadau wa Jamiiforum. Je kuna nyumba inapangishwa eneo tajwa hapo juu?