Ushauri kwa ndoa hii tarajiwa

Ushauri kwa ndoa hii tarajiwa

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Hi all

Rafiki yangu mdada anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu, na ndoa hiyo itafungwa kwao mwanaume (uhayani - Bukoba) tatizo ni kwamba huko Bukoba hana hata ndugu wa kuvuta na kamba wala rafiki.

Swali je inawezekana kufikia na kutokea hotelini?
Au anaweza kufikia hapo hapo ukweni? Vipi utaratibu unaotakiwa kufuatwa katika situation kama hii?
Mila za kihaya zinasemaje maana rafiki yangu sio muhaya?
 
Kam anauwezo anapanda flight siku kabla ya harus akafikia hotelin then asubuh wanaamkia Salun coz hana kikubwa anachotakiwa kwenda kufanya zaidi ya kuvaa shela..How abt ndugu wa huyo mdada hawaend? Na wao watafikia wap?..Kwend kulala ukwen bfore ya harus haipendezi...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hi all

Rafiki yangu anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu, na ndoa hiyo itafungwa kwao mwanaume (uhayani - Bukoba) tatizo ni kwamba huko Bukoba hana hata ndugu wa kuvuta na kamba wala rafiki.

Swali je inawezekana kufikia na kutokea hotelini?
Au anaweza kufikia hapo hapo ukweni? Vipi utaratibu unaotakiwa kufuatwa katika situation kama hii?
Mila za kihaya zinasemaje maana rafiki yangu sio muhaya?

Contradiction.
 
Kwani hasindikizwi hata na mama yake, baba ama kaka? Hauwezi kutokea ukweni kwenda kuolewa bwana! Japo zamani uncle wangu akioa tulienda sendoff kijijini kwao aunt, tukasepa na mwali wetu. Kwa bibi wakawa wamepewa room akalala na maids na dada zake.
 
Kwa dunia ya leo waweza pewa sehemu ukweni mkala (hali imeguwa jiwe sana) ila kama yuko fiti achukue flight afikie hoteli then harusini ila ni bora kuwapa wakwe heshima ya kuwahifadhini.
 
Samahani dada naona kama sijakuelewa vile, hapo umesema wakwe (kwao mume mtarajiwa ) wanaweza kutoa chumba kwa ajili ya wazazi, madada/makaka, maids na bibi harusi mtarajiwa?
 
Samahani ndugu yangu, unamaanisha kuwa wakwe wanaweza kuaccommodate upande wa bi harusi.
 
Hivi ndoa huwa inamfuata bibi au bwana? Au huyo mwanaume ndio anaolewa? Hata hivyo haya yamekua mageni sana kwa upande wangu kiasi cha kushindwa kuchangia.
 
Shemeji " mume mtarajiwa' wa shogaangu ndio kang'ang'ania kuwa lazima harusi ifanyikie kwao.
 
Sasa huyo binti (Shoga yako) hana wazazi? au anakwenda yeye kama muolewaji na mzazi! Kama hamna ndugu sio mbaya hata akitokea Gest maana hamna jinsi.
 
Kuhusu wazazi ndugu jamaa na marafiki.hilo halina mjadala wanaweza kufikia gest. Issue ni kwa bi.harusi ndio hapo lilipo swali langu.
 
ndoa hiyo mbona ina utata,kidogo au mwandishi ndo sjamuelewa
 
Huyo rafiki yako mdada aongee na mumuwewe mtarajiwa, awafanyie arrangement ya guest house, hotel au lodge kutegemeana na uwezo wao, ambapo atafikia yeye [bi harusi mtarajiwa] pamoja na troop yake [wazazi, kakazake, rafiki, matron n.k]. Huyo mume mtarajiwa amtafutie na salon. Wanafike Bukoba Alhamisi, washinde Ijumaa kuweka mambo sawa na kuondoa uchovu, na Jumamosi iwe harusi. Jumapili wapambe watageuza kurudi, na maharusi watajiju, kutegemea na honeymoon plan

"Amandla!" .... "Awethu"! Power!" .... "to the People!"
 
Hujaelewa wapi ndugu yangu, sema nikueleweshe maana uandishi kipaji wengine hapa tumeingilia vipaji vya watu. Samahani lakini
 
Huyo rafiki yako mdada aongee na mumuwewe mtarajiwa, awafanyie arrangement ya guest house, hotel au lodge kutegemeana na uwezo wao, ambapo atafikia yeye [bi harusi mtarajiwa] pamoja na troop yake [wazazi, kakazake, rafiki, matron n.k]. Huyo mume mtarajiwa amtafutie na salon. Wanafike Bukoba Alhamisi, washinde Ijumaa kuweka mambo sawa na kuondoa uchovu, na Jumamosi iwe harusi. Jumapili wapambe watageuza kurudi, na maharusi watajiju, kutegemea na honeymoon plan

"Amandla!" .... "Awethu"! Power!" .... "to the People!"

Asante ndugu kwa ushauri.
 
hiyo ni kule kijijini kwetu na enzi hakuna gesti hausi. ndo bi harusi alilala ukweni.
bukoba kuna gesti. kwa nini asilale huko? ama tumuelekeze kwa Bishanga akapate hifadhi....
Samahani dada naona kama sijakuelewa vile, hapo umesema wakwe (kwao mume mtarajiwa ) wanaweza kutoa chumba kwa ajili ya wazazi, madada/makaka, maids na bibi harusi mtarajiwa?
 
Last edited by a moderator:
yah! kwa mila za kiafrika huwa tunapenda sana kukirimiana, hasa masikini kumkirimu tajiri! kwa hiyo kama una kipato kizuri then wakikuambia wamekuandalia sehemu ya kufikia usikatae! muhimu ni wewe kwenda na kampani yako!
 
Back
Top Bottom