Search results

  1. Q

    Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

    Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
  2. Q

    Tozo kwenye mafuta zimepunguzwa, ila bei imepanda. Kuna sehemu tunakosea?

    Unachokisema wewe ni kweli ila Serikali walichokisema pia ni sahihi. Tuseme Serikali kuanzia leo ifute tozo kwa asilimia kubwa na bei ibadilike leo iwe shilingi 2000 kwa litre kwa Dar es salaam kwa mwezi huu. Ila bado kwa miezi inayofuata bei itaendelea kupanda na pengine kufikia hata 2400 mwezi...
  3. Q

    TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Shida ni kwamba you are being theoretical rather than being pragmatic. . Hayo yote na mimi ninayafahamu. Vitu on the ground haviko simple kama unavyoongelea hapo.
  4. Q

    TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Ni asilimia ngapi ya hao binafsi wanaolipa kwa kutumia faida? Most likely hao ni wale ambao ni VAT registered ambao sio majority. Na pia unaongelea kile kile nilichosemea mimi. Mimi nimetumia neno mauzo na wewe umetumia neno mapato which practically means the same thing. Na ndio maana nikatoa...
  5. Q

    TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Kwa mtazamo wangu kuna matatizo ya msingi katika mifumo yetu ya kodi na sekta binafsi kiujumla yanayopelekea Hali hii ya kukwepa kutoa risiti. 1. Viwango vikubwa vya Kodi visivyoakisi uhalisia wa faida katika biashara. Kwa biashara ambazo sio kampuni ambazo ndio majority kwa hapa Tz, TRA...
  6. Q

    Water Tank Stand inauzwa

    mohamedidrisa789 Asante kwa maoni 🙏🏾....Kila la kheri mkuu kujenga jukwaa la zege la urefu wa mita 6 kwa 1.5m.
  7. Q

    Water Tank Stand inauzwa

    bugembe Sina uhakika kama unauelewa wa cost ya stainless steel...Pia Height factor...anyways nashukuru kwa maoni 🙏🏾
  8. Q

    Water Tank Stand inauzwa

    Sorry. Nilikusudia 1.3m.
  9. Q

    Water Tank Stand inauzwa

    Used Water tank stand ya chuma yenye urefu wa 6 metres inauzwa. Iko katika very good condition. Ina uwezo wa kuhimili tank la ujazo wa hadi Lita 10,000. Bei ni 1.3m. Kwa mwenye uhitaji awasiliane nami kupitia namba 0687320462.
  10. Q

    Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

    Naomba kuelimishwa. Kwa hapa Tanzania, Rais huwa anajichagulia aina ya ndege ya kusafiri nayo au safari zake huwa zinaratibiwa na watumishi wa Ofisi ya Rais (Usalama)? Je, Rais pia huwa anachagua gari specific ya kutembelea au usafiri anaotumia huratibiwa na watumishi wa ofisi yake?
  11. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Kambaku Huo ni mkondo wa bahari umeingia nchi kavu. Bahari kuu iko kama mwendo wa dakika 20 kwa kutembea kwa miguu.
  12. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kingani Beach Bagamoyo Mjini (karibu na makazi ya Kadinali Pengo). Ni umbali wa 4km kutoka stendi kuu ya Mabasi Bagamoyo. Viwanja vina ukubwa wa size tofauti tofauti baina ya sqm 700-1400. Bei kwa sqm moja ni Sh 19,000/=. Wasiliana nami kupitia namba 0687320462.
  13. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Sawa mkuu. Hamna haja ya kuumiza kichwa sana. Mbweni kuna beach, vivyo hivyo Ununio, Kunduchi, Mbezi, Kawe, Msasani, Masaki, Upanga, Kigamboni etc. Na zote ziko kwenye mwambao mmoja kwa karibu kabisa ila value hazifanani. Kwa nini? That’s your HOMEWORK.
  14. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Wewe unaona minazi na mchanga kwa sababu ndio ukomo wa uono wako ulipofika. Mimi pia sina tofauti kubwa sana na wewe. Ila binafsi nawafahamu watu wawili ambao wana maono ya tofauti Kabisa na tunayowaza mimi na wewe na wengine wengi juu ya kitu gani wangeweza kufanya kwenye ardhi hio. Infact hio...
  15. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Bahati nzuri au mbaya sijawahi kufanya biashara ya udalali maishani mwangu😎. Kwa hio siwezi kuwasemea madalali Omusolopogasi
  16. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Kwa vile wanadamu hatufanani malengo na mitazamo, naheshimu mawazo yako mkuu 🙏🏾 Omusolopogasi Mkuu umekazania kwenye Pesa feki as if Cash is the only mode of payment. Anyways, kam nilivyosema tunatofautiana malengo na mitazamo.
  17. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Kwa vile wanadamu hatufanani malengo na mitazamo, naheshimu mawazo yako mkuu 🙏🏾 Omusolopogasi
  18. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Shukran 🙏🏾 penadu
Back
Top Bottom