Search results

  1. U

    Post ya Harmonize kuweka rekodi Instagram bongo

    Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram. Mpaka sasa post hiyo ina likes zaidi ya laki na ishirini ikiwa na comment zaidi ya elfu 20 ndani ya masaa 14 tangu ilipo postiwa huku...
  2. U

    Nakupenda ya King Kiba hakika ni funga mwaka kweli kweli

    Ngoma mpya ya king kiba nakupenda ni hatari na nusu. Imefunika ngoma zote mwaka huu. Ni bonge moja la collabo la kimataifa ikiwa inakaribia views laki nne ndani ya masaa 18 tangu iachiwe huko YouTube. Hakika mwamba umeshindikana. Unajua kile mashabiki zako tunapenda. Yoooh ye baba bado...
  3. U

    Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

    Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
Back
Top Bottom