Nakupenda ya King Kiba hakika ni funga mwaka kweli kweli

Dec 27, 2020
43
70
Ngoma mpya ya king kiba nakupenda ni hatari na nusu. Imefunika ngoma zote mwaka huu.

Ni bonge moja la collabo la kimataifa ikiwa inakaribia views laki nne ndani ya masaa 18 tangu iachiwe huko YouTube.

Hakika mwamba umeshindikana. Unajua kile mashabiki zako tunapenda.

Yoooh ye baba bado tunasubiri kwa hamu show ya Burundi kwa Nkurunziza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom