Search results

  1. zagarinojo

    Artificial Intelligence (Akili bandia): Tufurahi au tupo hatiani?

    Akili bandia(Artificial intelligence) ni miongoni mwa teknolojia za kizazi cha 5 cha computer zilizoanza kushika kasi sana. Nimetazama video mbali mbali kuhusu Akili bandia na matumizi yake baadae imeniogopesha sana. Sijazama sana kiundani na kuifanyia utafiti. Lakini nimewahi kusikia kuhusu...
  2. zagarinojo

    Je, Mafanikio yana Formula? Kufanikiwa ni mbinu au bahati?

    Habari Wana Forum, naimani mu wazima wa afya. Kabla sijaanza naomba radhi kwasababu ntatumia code mixing na code switching Ili kurahisisha ujumbe. Kila mmoja ana jinsi yake ya kudefine na kuyaelewa Mafanikio. Lakini nijikite zaidi kwenye Mafanikio ya kiuchumi. Kichumi lakini pia kwa mtu...
  3. zagarinojo

    Kongole kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hizi ni salamu zangu za dhati kutoka uvunguni ndani ya Moyo wangu zimfikie popote alipo Madam President. Wapo waliosema Pengo lake John P..Halitazibika ILA umetuonesha uthubutu halisi ulionao. Wengine walidhani mwanamke hawezi kuliongoza Taifa kubwa kama Hili hasa lenye ndoto za kuyafikia...
  4. zagarinojo

    Mnieleweshe hili la Anuani ya Makazi

    Habari wasee...Nimepitapita huku na kule kuperuzi nikaona Clip tu mama yetu anaongea na watu wa Sensa kuwa kuna mpango wa serikali kuanzisha Anuani za Makazi. Kuwa Kila Raia kuna wakati itafika atakuwa na Anuani yake Binafsi itakayoingizwa kwenye Data Centre ya Taifa. Kiasi Kwamba shughuli...
  5. zagarinojo

    Turudi utotoni kidogo, umemiss nini?

    Leo nimeamua niwarudishe utotoni najua kabisa kwa sasa umri umekwenda na hauwezi rudi nyuma kamwe ila Kipindi kisichosahaulika ni Cha Utoto Utoto ni Kipindi ambacho wengi walikifurahia kutokana na mambo kadha wa kadha..Mengine ya kusimuliwa na wazazi lakini Mengine yale ambayo unayakumbuka wewe...
  6. zagarinojo

    Watanzania mnataka nini? Mnamtaka nani?

    Nimeshindwa kuwaelewa Watanzania msimamo wenu uko vipi? Je ni kweli tunajua ni kitu gani tunahitaji au ni yupi tunamtaka.....Yawezekana hata tungeongozwa na Malaika bado lawama haziwezi kukoma... Vilio vile nilivyokuwa nikivisika wakati wa Hayati Magufuli.."Hali Ngumu..Vyuma Vimekaza...Uchumi...
  7. zagarinojo

    Mnawezaje kuwa na Long Distance Relationships?

    Habari wasee! Ni Dakika Chache tu before sijaandika uzi huu mshikaji wangu ametoka Kugombana na Manzi wake kisa tu Hampigii simu mara kwa mara. Mshikaji anaishi Mwanza na Demu wake yuko Chuo huko Dar. Mshikaji anadai manzi analalamika inapita siku Mshikaji hajampigia anaona kama vile hampendi...
  8. zagarinojo

    Wajuzeni Maisha ya chuo yapoje?

    Wakuu Habari Zenu...! Leo nina ishu isiyo nyeti sana. Vijana wengi sikuhizi hasa hawa ambao hawajafika chuo wana shauku kubwa ya kufika chuo.. Sikuhizi vijana wengi wanao hitimu Elimu ya Sekondari hawataki kabisa kwenda Advance shauku yao kubwa ni kufika chuo. Wengi ukiwasikia wanapiga stori...
  9. zagarinojo

    Uchambuzi: Wimbo wa WAAH! Diamond Ft Koffi Olomide..Toa maoni

    Habari wana JF. Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka wasanii mbalimbali wameachia nyimbo zao.Wao wenyewe wanaziita za kufungia mwaka. Mmoja kati ya wasanii walio achia wimbo ni Diamond Platnumz aliomshirikisha Koffi Olomide unaitwa WAAH! Hadi sasa video ya wimbo huo imeachiwa ikiwa na wiki moja...
  10. zagarinojo

    Nini hukupa/kitakupa furaha maishani lakini nini hupelekea kukosa furaha?

    Jamii Forums tena. Sidhani kama ukweli juu ya maisha yalivyo ulishawahi patikana. Je, maisha ni magumu kama wengi wasemavyo au ni rahisi Kama wachache waliofanikiwa wasemavyo? Kuna utatanishi mkuu juu ya majibu ya maswali haya. Nimejaribu kutafakari kwa kina kama furaha katika maisha hutafutwa...
  11. zagarinojo

    Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

    Wana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe. Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu Fulani. Bado najiuliza Kama wana Dar es Salaam nao watashindwa kumpa kura JPM.. Tunatambua wale jamaa...
  12. zagarinojo

    Truth Or Dare:The Game...Play It...

    Truth or Dare is a game. It may be played by all people regardless their age or status. JUST TAG SOMEONE AND LET HER/HIM CHOOSE TRUTH OR DARE... Here is the game When a person chooses Truth He or She would have to answer the questions truthful regardless of its embarrassment.. And When a...
  13. zagarinojo

    Leo tutaje zile moment tunazo zifurahia/tusizo zifurahia kwenye Mapenzi/Mahusiano

    Wana MMU newz zenu. Muondoe stress kidogo! Halafu sasa ujue mapenzi yana ndumila kuwili sana yaani yana nyakati/moments za kufurahisha na zisizofurahisha.. Sasa leo semeni zote zinazofurahisha na zile zisizofurahisha kwenye mahusiano au mapenzi. Aisee! Hakuna moment nzuri Kama Una girlfriend...
  14. zagarinojo

    Shule ni kwa ajili ya nini kama hatufundishwi kufanikiwa?

    Habari wana jamii. Slogani hizi ndo imenishawishi kutafakari haya yote. "Education is the Key To Success" "Education For The Bright Future" Nimeshindwa kutambua kosa liko wapi lakini natambua fika kuwa "hatukufundishwa jinsi ya kufanikiwa shuleni". Tulifundishwa kuwa kukosea ni dhambi ndiyo...
  15. zagarinojo

    Abbreviations: The Game, Sema Kirefu Chake

    Yeah Its another refreshing game again a little bit difficult buy enjoyful. Its simple you just have to Write the Long Forms of the Abbreviations any person would recommend.. In all aspects including Fun and concrete Abbreviations.. Example: LOL-Laugh Out Loud LPO-Local Purchases Order Ndio...
  16. zagarinojo

    World's Boyfriend Day(03.10.2020). Siku Ya Wapenzi wa Kiume.

    Yeah Wana MMU. Ila mi nadhani haya mambo yako kwa wenzetu sana. Mi najua mapenzi yetu si ni ya kikomando. Ila Leo huko dunia nyingine eti..Ni siku ya wapenzi wa kiume.. Kama mnavyosikiaga Happy Father's Day basi Leo pia ni siku ya wapenzi wa kiume.Hii ni tofauti na Valentines Day. Ila Bongo...
  17. zagarinojo

    Happy Bday Kwa Diamond Platnumz, Chibu Dangote, Baba Lao, Simba, Toto La Kimanyema, A Boy From Tandale

    Wana Celebrity What's up! Tarehe kama ya leo 2.10.2020 alizaliwa Diamond Platnumz(Naseeb Abdul)katika mitaa ya kiswazi Sana Tandale.Alizaliwa katika familia ya kimaskini iliyokuwa ikilelewa na mama aliyetelekezwa na mumewe(Bi Sandra;Mama Dangote) Pengine ugumu wa maisha na kushindwa kulimfanya...
  18. zagarinojo

    Kama Maisha Yangekua Movie ungeweza kufanya nini?Ungekuwa mhusika wa Aina Gani?

    Turelax kidogo alafu tupunguze stress. Kisha sikia hii Kama maisha yangekuwa movie nadhani kuna baadhi ya mambo yangekuwa mepesi kwako kuyafanya na ungefurahia sana kuwa katika maisha ya kimovie. For instance Kama life ingekuwa movie nahisi mimi ningekuwa comedian kwasababu kwanza comedian...
  19. zagarinojo

    Wadada sijui huwa mnafanya makusudi, pengine sijui mnaona fahari katika hali hizi

    Wasalam, "Wanaume tumeubwa mateso kuhangaika walisema wahenga." Tuachane na hayo kwanza Ila kilichonileta hapa leo ni kujua kama baadhi ya tabia wadada huwa wanazifanya kwa makusudi au ni kinyume ya matarajio yao. Juzi kati nilikuwa kitaa na masela tunagonga mastori kuhusu ishu za Lissu na...
  20. zagarinojo

    Wale Wakali wa Kutongoza Kwenye Simu/ChatTukutane Hapa...!

    Kwa wale wakali wa hizi show ambao wao ni domo zege Ila ukija upande wa simu ukishampa tu namba utashangaa anavyotiririka na verse. Wale ambao wao ni waoga kutongoza pisi kali eti mpaka wapate namba[emoji1701][emoji1701]. Hawa eti wanasema ukiwapa namba hata dakika 5 hazipiti mtoto ashaingia...
Back
Top Bottom