Kama Maisha Yangekua Movie ungeweza kufanya nini?Ungekuwa mhusika wa Aina Gani?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Turelax kidogo alafu tupunguze stress.

Kisha sikia hii
Kama maisha yangekuwa movie nadhani kuna baadhi ya mambo yangekuwa mepesi kwako kuyafanya na ungefurahia sana kuwa katika maisha ya kimovie.

For instance Kama life ingekuwa movie nahisi mimi ningekuwa comedian kwasababu kwanza comedian huwa hawachukiwi na mtu kwenye movie alafu hata ikiwa action movie huwa hawafi hadi mwisho wanasurvive.

Alafu pili nisingesumbuka kupata girlfriend kama ilivyo kwenye maisha ya kawaida ningekwenda tu mahala nikamsubiri mrembo adondoshe vitabu chini kisha nimsaidie kuokota then baada ya hapo nimuimbie then tunakuwa tumefall in love.

Ma characters wapo wengi na vitu ni vingi narudi kwenu wadau
 
Nigerian movies?
Bongo movie?
Hollywood? Bollywood?


Bongo movie nyingi mwisho starring anamuoa Irene Uwoya au Wema sepetu.

Bollywood lazima muimbe na kucheza hata
Kama mmetekwa...

Nigerian movie uchawi hadi kutongozana..
 
Nigerian movies?
Bongo movie?
Hollywood? Bollywood?


Bongo movie nyingi mwisho starring anamuoa Irene Uwoya au Wema sepetu.

Bollywood lazima muimbe na kucheza hata
Kama mmetekwa...

Nigerian movie uchawi hadi kutongozana..
Chagua yeyote ile ilimradi its a movie Ila wengi najua mtapenda Indian movies
 
Nigerian movies?
Bongo movie?
Hollywood? Bollywood?


Bongo movie nyingi mwisho starring anamuoa Irene Uwoya au Wema sepetu.

Bollywood lazima muimbe na kucheza hata
Kama mmetekwa...

Nigerian movie uchawi hadi kutongozana..
The Boss itakuwa uliangalia zamani sana Nigerian movies, za siku hizi tamu balaa
 
Back
Top Bottom