Search results

  1. J

    Ni mkoa gani Tanzania unatamani kuishi?

    Mambo! sweet heart
  2. J

    Ni mkoa gani Tanzania unatamani kuishi?

    Wachanga bwana utadhania ushirikina hawaujui!!? Wakati December lazima akatabike
  3. J

    Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

    Mzee wangu alikuwa ni waya ya umeme☹️🙁, muda mwingine akitoka safarini nilihisi kama naota vile,😂😂kumbe ndio mzee amerudi.
  4. J

    Marekani: Atoka jela baada ya kufungwa karibia miaka 70, atoka jela akiwa na miaka 83

    Na me natamani niende jela nikae miaka 50,ili niisahau hii dunia
  5. J

    Hatua kwa hatua hadi Leirvik - Norway, kwa wanaotaka kufika Norway nitawaeleza hapa

    30m sawa ni ndefu,lakin lazima tujue gharama za maisha zikoje? 30m isiwe hela ya chakula tu na Kodi inaisha tunataka maendeleo hatutaki ufahari wa kuishi ughaibuni kisa mshahara wa 30m
  6. J

    Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Hii itawakubusha wazazi,wamiliki wa shule na vyombo moto,madereva pia kuwa makini wawapo barabarani ili isije kujirudia May 06 2017) nyingine
  7. J

    Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Unadhani ni kwa nini huwa tunakumbushia kuzaliwa na kufa kwa yesu
  8. J

    Marekani: Atoka jela baada ya kufungwa karibia miaka 70, atoka jela akiwa na miaka 83

    Unadhani marekani kuna nini cha zaidi,huyo ni Kama ndio anazaliwa sema tu amepewa kiazio cha maisha
  9. J

    Marekani: Atoka jela baada ya kufungwa karibia miaka 70, atoka jela akiwa na miaka 83

    Miaka sabini gizani Bora angemalizia uhai wake gerezani tu
  10. J

    Ondoa matarajio makubwa kutoka kwa watu, yatakuumiza sana

    Kwanini walimu hulazimisha wanafunzi wawe na uelewa Kama wao walivyo ilihali kila binadamu ameumbwa na uelewa wake tofauti
  11. J

    Dodoma Kuna Pesa, huu ni ukweli. Nashauri nendeni mkafanye research, muda ndio huu

    Vpo? Taja bei na sifa ya kiwanja,umeme na maji hizi huduma lazima zipatikane ninai lengo la kuna kujenga huko
Back
Top Bottom