Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,709
8,007
Habari wadau,

Moja kati ya mada muhimu za kuweka mezani siku hizi ni kuhusu uhusiano kati ya watoto na Baba. Imekuwa kawaida kwa mama kupewa kipaumbele kuanzia ngazi ya familia mpaka jamii.

Kuna wakati taasisi fulani ilifanya tafiti ndogo ya kuwaambia wanaume waliokuwa wanafanya kazi umo kuwapigia baba zao simu na kuwaambia "Nakupenda", Lilikuwa zoezi gumu sana kwa wengi wao.

Leo tuzungumzie swala la zawadi. Mdau tuambie:

1. Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?
2. Unakumbuka ni lini?
3. Ilikuwa zawadi gani?

1620890771133.png

Daaaaah sure ni ngumu sana .....
Anyway ..malez yanachangia coz wezee weng wanakuwa wakatili sana

Mfano mtoto akisikia sauti ya mzee ....anakimbilia kulala
Ilikuwa ukimaliza tu kula usiku Kama hajapitia kilabuni siku hiyo uatasikia " hayaa kakojoeni mkalale".............. Hili limenilemaza Hadi Leo hata nikiwa napata moja Moto moja baridi au nimetoka na washkaji kidogo Mara nyingi nikijitahidi Sana mwisho saa tatu usiku......

Ila all in all , he was right in his own perspective na kumpa zawadi ni suala la msingi... Tatizo zawadi gani maana za wamama rahisi Sana.
 
Mie too zawadi zangu zilikua nguo mayb sox,shirt,trauza .mwaka jana niliona saa ya kishua nikajipinda nikainunua nikamtumia ..jamani anamwambia mkewe hii saa ni nzuri sana sana tena ni aghali🤣! Yaan mama ananiambia fanya yote ila saa yake isiguswe! Najiskiaga raha balaa...
My mom mie namnunulia mikoba zaidi aweke lesson zake!
 
Baba yangu huwa hapendi zawadi kabisa, kuna kipindi nili mnunulia suti nika mpelekea kama zawadi kuipokea akaifungua nikasikia, YESU NA MARIA MWANANGU UME NINUNULIA SUTI hii hela sibora ungenipatu nikaenda kunywa kitochi chambege hapo kwa mama matilii.
 
Mie too zawadi zangu zilikua nguo mayb sox,shirt,trauza .mwaka jana niliona saa ya kishua nikajipinda nikainunua nikamtumia ..jamani anamwambia mkewe hii saa ni nzuri sana sana tena ni aghali🤣! Yaan mama ananiambia fanya yote ila saa yake isiguswe! Najiskiaga raha balaa...
My mom mie namnunulia mikoba zaidi aweke lesson zake!
Hahaha... Na roho ya unabii safi sana
 
Mwanzo nilikua natuma hela, ila nilibadilisha kulingana na status aliyokuwa nayo. Yaani iko hivi mshua alikua senior officer NGO flani hivi, baada tu ya kustaafu akaanza kuishi maisha ambayo hakuwahi yaishi yaani ile hadhi ya chini kabisa mara mashati/viatu vilivyochanika, hapo unakuta maza hana time nae.

Sasa kazi yangu ni kufix hilo eneo, yaani tamtafutia Tishet classic na open shoes za ngozi ile pure kabisa mwenyewe akitinga anaweka na mkanda nje kwenye suruali. Na huwa anazipenda sana hizo zawadi. Kiukweli mie mshua huwa namkubali sana japo nae pia alikua anapungufu yake. Ila yeye ndio sababu ya mie kuwa hapa nilipo.
 
Mwanzo nilikua natuma hela, ila nilibadilisha kulingana na status aliyokuwa nayo. Yaani iko hivi mshua alikua senior officer NGO flani hivi, baada tu ya kustaafu akaanza kuishi maisha ambayo hakuwahi yaishi yaani ile hadhi ya chini kabisa mara mashati/viatu vilivyochanika, hapo unakuta maza hana time nae.

Sasa kazi yangu ni kufix hilo eneo, yaani tamtafutia Tishet classic na open shoes za ngozi ile pure kabisa mwenyewe akinga anaweka na mkanda nje kwenye suruali. Na huwa anazipenda sana hizo zawadi. Kiukweli mie mshua huwa namkubali sana japo nae pia alikua anapungufu yake. Ila yeye ndio sababu ya mie kuwa hapa nilipo.
Mwaka huu walitimiza miaka46 ya ndoa basi nikawanunulia heater ya bafuni..maana hatak kuoga maji ya baridi...wameifurahia sana sana!
Usimlaumu maza..ukute mshua hatak pigo za kurekebishwa na mom😀!
 
Mwaka huu walitimiza miaka46 ya ndoa basi nikawanunulia heater ya bafuni..maana hatak kuoga maji ya baridi...wameifurahia sana sana!
Usimlaumu maza..ukute mshua hatak pigo za kurekebishwa na mom😀!
Aisee safi sana na Hongera kwao...i wish wangu nao wangekua kama wako. Sie wetu kila mtu ana time yake hata ukisema muwaweke pamoja muwafanyie kitu ni kasheshe. So inabidi kila mtu tumhudumie kivyake japo wapo kwenye nyumba moja. Yaani imagine watu wamekuja tibuana dakika za mwisho wanaenda kwenye uzee. Mwanzoni ilitupa stress ila saivi tumewazoea
 
😀😀 yaani kwwnye ndoa inahitajika mmoja ajishushe ..sijawah muona babangu akijishusha...mtata magu akasome...inawzekana mama yako amechoka kujishusha..ninamtetea kwakweli...
 
😀😀 yaani kwwnye ndoa inahitajika mmoja ajishushe ..sijawah muona babangu akijishusha...mtata magu akasome...inawzekana mama yako amechoka kujishusha..ninamtetea kwakweli...
Hahaha...kwahiyo nyie maza alishuka? Sie maza nae ni kichomi yaani kichomi kweli si mchezo. Na mshua ndio type za mzee wako fikiria hiyo combination inakuaje? Kuachana ndio hawataki, kuna mda hata sie watoto tuliona afadhali waachane lakini wapi hawataki.

Ndugu za pande zote mbili walishachemka kitambo sana kutoa suluhu. Nadhani wanahofia wajukuu wakienda halafu labda bibi yupo babu hayupo italeta picha gani.
 
Hahaha...kwahiyo nyie maza alishuka? Sie maza nae ni kichomi yaani kichomi kweli si mchezo. Na mshua ndio type za mzee wako fikiria hiyo combination inakuaje? Kuachana ndio hawataki, kuna mda hata sie watoto tuliona afadhali waachane lakini wapi hawataki. Ndugu za pande zote mbili walishachemka kitambo sana kutoa suluhu.
🤣🤣🤣! Bas hao wanapendana! Mie maza namuonaga anashuka hata asipotakiwa kushuka!sema dingi anamtreat as queen..anampa vibe sana anamcare mno mno...labda na mm ningevumilia...ila zaidi ya hapo hata mie ujinga huo siuwezi kujishusha kila sk!
 
Back
Top Bottom