Search results

  1. G

    Kwenye mchezo au sanaa ya karate kata zina umuhimu gani kwenye mapigano

    Habari wakuu kwa wataalamu wa sanaa ya mchezo wa karate kata zina umuhimu gani au zinatumika vipi katika kupigana iwe ni kwenye hali ya mtaani (street fight ) au kwenye mashindano ya karate .kwa kifupi umuhimu wa kata ni nini
  2. G

    Natafuta internship au nafasi ya kazi ya Electrical Technician

    Habari zenu wadau wa JamiiForums, Nina ombi kama kuna mtu yeyote anaeweza kunisaidia kupata internship kwenye kampuni yoyote ile ya Electrical Technician anisaidie. Au kama una kazi yoyote kuhusiana na Electrical Technician. Mimi ni graduate wa Diploma katika masuala ya Electrical...
  3. G

    Wapi naweza jifunza martial arts ??

    Habarini wadau wa jamii forum nilikuwa naomba kujuzwa sehemu ambayo naweza jifunza boxing ,karate, kung fu au hata martial arts ambayo ina walimu bora zaidi na lengo la kujifunza sio kwa ajili ya mashindano ni kwa ajili ya mazoezi binafsi na self defence kwa maeneo ya dar es salaam
  4. G

    Je, ni vizuri kusoma kozi mbili tofauti kwa ngazi ya diploma na degree?

    Habari zenu JamiiForum members. Nilikuwa naomba ushauri kama inafaa kusoma diploma ya electrical engineering alafu degree kusomea mechanical engineering kisoko na kikazi hii imekaaje wadau?
  5. G

    Nafasi za field Tpdc

    Samahani nilikuwa nauliza kama ninaweza pata nafasi ya kufanya field tpdc Nasomea electrical engineering diploma
  6. G

    Wataalamu wa martial arts specifically karate

    Samahani wataalamu wa karate nilikuwa naomba ufafanuzi wa style gani ya karate au aina ipi ya karate ni nzuri zaidi kwa self defence. shotokan au ipi ni nzuri zaidi. Asanteni
  7. G

    Ni maeneo ya kujifunzia martial arts jijini Dodoma?

    WanaJF nilikuwa naomba kujuzwa maeneo mbali mbali ninapoweza kujifunza martial arts yoyote ile (karate, kickbox, boxing, kungfu ) pamoja na gharama zao. Asanteni wakuu
  8. G

    Karate vs boxing

    Wakuu samahani nilikuwa naomba kujuzwa ni mchezo Upi kati ya karate na boxing mzuri kujifunza tukianzia kwenye urahisi wa kujifunza , mitindo ya kuicheza ,mazoezi na kwny self defence upi ni mzuri zaidi . Asanteni
  9. G

    Fursa za kibiashara katika fani ya Uhandisi wa Umeme (Electrical engineering)

    Samahani wanaJF, Nilikuwa naomba mnisaidie na mawazo au labda uzoefu kwa namna Moja au nyingine kutokana na fursa zinazopatikana baada ya kupata cheti cha kuanzia Diploma ya Uhandisi wa umeme (Electrical engineering) katika jamii zetu za Kitanzania. Asanteni sana
  10. G

    Naomba kujuzwa Careers za Electrical engineering

    Samahani wakuu nilikuwa naomba msaada wa kujuzwa kuhusu careers ambazo zinatokana na Electrical engineering kwa ngazi kuanzia certificate hadi PhD?
  11. G

    Naomba kujuzwa mishahara ya Diploma Holder TANESCO

    Samahani wakuu, nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu mishahara ya Electrical engineers wenye kiwango cha elimu diploma TANESCO pamoja na majukumu yao.
  12. G

    Naomba kujuzwa mshahara wa Electrical engineers?

    Samahani wana JF nilikuwa naomba kwa wanaofahamu kuhusu mishahara wanaolipwa wahandisi wa umeme (Electrical engineers) kwa graduate wa kuanzia diploma, degree na masters pamoja na careers wanazoweza zifanya. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom