Naomba kujuzwa mishahara ya Diploma Holder TANESCO

Samahani wakuu, nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu mishahara ya Electrical engineers wenye kiwango cha elimu diploma TANESCO pamoja na majukumu yao.
Electrical Engineering ngazi ya Diploma ina maana ni Technician. Mshahara sio mbaya (kuna salary scales/madaraja ya mishahara) na inatagemea pia na experience katika kazi. Pia inategemea pia kama utakuwa Supervisor au Technician tu.

Majukumu yapo mengi ila inategemea kwanza unaajiriwa wapi. Labda ni Generation, Transmission au Distribution.

Kote huko pia kuna idara pia mfano Distribution kuna idara kama Emergency, Construction, Maintenance, Planning n.k. Kote majukumu ni tofauti lakini since umeajiriwa na shirika tegemea kutupwa idara yoyote wakati wowote.

Uzuri ni kuwa wakitangaza nafasi za kazi huwa wanakuwa specific kama ni ya Transmission, Distribution au Generation hivyo unaweza kuwa umepata picha mapema. I hope umepata kamwanga.
 
Electrical Engineering ngazi ya Diploma ina maana ni Technician. Mshahara sio mbaya na unatagemea pia na experience katika kazi. Pia inategemea pia kama utakuwa Supervisor au Technician tu.

Majukumu yapo mengi ila inategemea kwanza unaajiriwa wapi. Labda ni Generation, Transmission au Distribution...
Safi sana mkuu. ubarikiwe
 
Asante sana bro your too kind .....ubarikiwe nimekuelewa
 
Electrical Engineering ngazi ya Diploma ina maana ni Technician. Mshahara sio mbaya na unatagemea pia na experience katika kazi. Pia inategemea pia kama utakuwa Supervisor au Technician tu.

Majukumu yapo mengi ila inategemea kwanza unaajiriwa wapi. Labda ni Generation, Transmission au Distribution.

Kote huko pia kuna idara pia mfano Distribution kuna idara kama Emergency, Construction, Maintenance, Planning n.k. Kote majukumu ni tofauti lakini since umeajiriwa na shirika tegemea kutupwa idara yoyote wakati wowote.

Uzuri ni kuwa wakitangaza nafasi za kazi huwa wanakuwa specific kama ni ya Transmission, Distribution au Generation hivyo unaweza kuwa umepata picha mapema. I hope umepata kamwanga.
Umemuelezea Vizuri sana Mkuu C0999 jokes
 
umeokoa wengi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Degree ya science laki9 ,diploma ya science laki7, degree ya social science laki7 haya kajenge taifa.
 
Mleta mada ungesema fundi mchundo mwenye diploma analipwa kiasi gani Tanesco? Unaijua Electonic Engineering? Ipe heshima yake.
 
Back
Top Bottom