Wapi naweza jifunza martial arts ??

goxum10

Senior Member
Apr 1, 2020
176
207
Habarini wadau wa jamii forum nilikuwa naomba kujuzwa sehemu ambayo naweza jifunza boxing ,karate, kung fu au hata martial arts ambayo ina walimu bora zaidi na lengo la kujifunza sio kwa ajili ya mashindano ni kwa ajili ya mazoezi binafsi na self defence kwa maeneo ya dar es salaam
 
Ngoja waruka juu waje
 
Njoo machinga complex ilala
 
Back
Top Bottom