Naomba kujuzwa Careers za Electrical engineering

Naomba kujuzwa Careers za Electrical engineering

goxum10

Senior Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
179
Reaction score
211
Samahani wakuu nilikuwa naomba msaada wa kujuzwa kuhusu careers ambazo zinatokana na Electrical engineering kwa ngazi kuanzia certificate hadi PhD?
 
Samahani wakuu nilikuwa naomba msaada wa kujuzwa kuhusu careers ambazo zinatokana na Electrical engineering kwa ngazi kuanzia certificate hadi PhD?

Mtoa mada unachotaka kujuzwa nini hasa?
 
Course nzuri sana ila inabidi uwe creative ,maanake uweze kwenda mbali zaidi ya ulichokisoam darasani, ku design mifumo tofauti tofauti. Unajua pia mambo ya instrumentation ambayo kwa sasa ndio amebeba viwanda vyote vikubwa
 
Back
Top Bottom