Kwenye mchezo au sanaa ya karate kata zina umuhimu gani kwenye mapigano

Ni msingi wa muhimu sana, ni kama somo la imla linavyomuandaa mtoto kusoma vizuri. Namna ya kucondition mwili uweze kufanya movement na mapigo automatically. Unapozoea kufanya kitu kila siku, hata inapotokea hatari na ukatakiwa kujiahami, mwanakarate hufanya baadhi ya techniques automatically kutokana kupractise vitu hivyo kwa muda mrefu.
 
Siyo karate, kata inakupa mbinu mbali mbali za kuanticipate mapigo ya adui na namna ya kumdhibiti.
Lakini sometimes inaleta doubt kwny self defence situations zile stances zao hadi uziexecute kama zinaugumu sana unlikely kama kwny kick boxing, jet kunne do au boxing
 
Ni msingi wa muhimu sana, ni kama somo la imla linavyomuandaa mtoto kusoma vizuri. Namna ya kucondition mwili uweze kufanya movement na mapigo automatically. Unapozoea kufanya kitu kila siku, hata inapotokea hatari na ukatakiwa kujiahami, mwanakarate hufanya baadhi ya techniques automatically kutokana kupractise vitu hivyo kwa muda mrefu.
sawa brother
 
Ndo maana inachukua muda mrefu sana hadi uive, muda mwingi mnaruka ruka tu makata hayo.

Kwenye boxing anagalau.

All ain all Krav maga ndo kiboko ya matatizo
 
Ila hiyo krav maga apa bongo sidhani kama kuna madojo ya kutrain bongo madojo na gym nyingi ni karate ,kungfu na boxing ata kick boxing sio sana
 
Lakini sometimes inaleta doubt kwny self defence situations zile stances zao hadi uziexecute kama zinaugumu sana unlikely kama kwny kick boxing, jet kunne do au boxing
Uko sahihi..lakini matumizi ya stance kwenye Kata/Kihon ni tofauti na utakavyozitumia kwenye sparring au mapigano halisi... kwenye mazoezi zitakuwa chini sana kwa maana ya msingi lakini kwenye matumizi halisi lazima ziwe au uwe juu.
Oss.
 
Oss

Asante mkuu ,Nataka nianze kucheza mchezo wa martial arts for self defence na mazoezi tu kwa maana ya fitness na Karate kwa kibongo bongo ni accessible but wadau wengi wamekua wakisema hapo effective kwny self defence afu adi kuimaster inachukua muda sana plus kuruka ruka kwingi na stances zake complex nimeishia kusoma vitabu vyao na kuifwatilia mtandaoni na kwl stances zao sjui izo zenkutsu na kina kiba dachi plus izo kata 26 ni complicated na haiwezi kukuokoa kwny self defence
 
Karate au Martial Arts usianze kujifunza kwa malengo ya kwamba baada ya muda fulani utakuwa umefaulu na kumaliza..hapana...Karate ni maisha..yaani ni kitu kinatakiwa kuwa sehemu ya maisha yako na hakiwezi kuwa na mwisho bali jinsi utakavyokuwa unafanya mabadiliko yatakuwepo..tafuta mwalimu au chuo uanze.
 
Habari wakuu kwa wataalamu wa sanaa ya mchezo wa karate kata zina umuhimu gani au zinatumika vipi katika kupigana iwe ni kwenye hali ya mtaani (street fight ) au kwenye mashindano ya karate .kwa kifupi umuhimu wa kata ni nini
self defence kimwili pia kiakili kuwa active 24hours hata kama umelala usingizi wa kifo
 
Karate au Martial Arts usianze kujifunza kwa malengo ya kwamba baada ya muda fulani utakuwa umefaulu na kumaliza..hapana...Karate ni maisha..yaani ni kitu kinatakiwa kuwa sehemu ya maisha yako na hakiwezi kuwa na mwisho bali jinsi utakavyokuwa unafanya mabadiliko yatakuwepo..tafuta mwalimu au chuo uanze.
Haina noma Niko kwenye process mwakani kwenye novemba hivi nataka nianze kupractice maana theory yake nimeichek check though kwa huu umri wangu nahisi ntakua mzito sana
 
Back
Top Bottom