Wataalamu wa martial arts specifically karate

goxum10

Senior Member
Apr 1, 2020
176
207
Samahani wataalamu wa karate nilikuwa naomba ufafanuzi wa style gani ya karate au aina ipi ya karate ni nzuri zaidi kwa self defence. shotokan au ipi ni nzuri zaidi.

Asanteni
 
Mkuu haya mafunzo ni kama course kamili na ina kanuni zake.

Kwa story za vijiweni ukiwa umepitia huku inatakiwa hutakiwi kuonyesha kwa mazingira yeyote yale kama umepita huko.

Turudi kwenye swali lako.

Unataka kujifunza aina fulani vingine uache au unataka kufahamu tu?
 
Nataka kujifunza mojawapo
 
Back
Top Bottom