Samahani wana JF nilikuwa naomba kwa wanaofahamu kuhusu mishahara wanaolipwa wahandisi wa umeme (Electrical engineers) kwa graduate wa kuanzia diploma, degree na masters pamoja na careers wanazoweza zifanya.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app