Search results

  1. M

    Bwana Senzia Lushino, Afisa Tarafa Kata ya Moshi Magharibi Amsimamisha Kazi Mwalimu Honest Shirima kuanzia leo

    Afisa Tarafa ya Moshi Magharibi Bwana Senzia Lushino mwishoni mwa wiki hii ametembelea Shule ya Sekondari Korongoni iliyoko manispaa ya Moshi Mjini katika kata ya Soweto na kukuta Mwalimu mtoro sugu bwana Honest Shirima hayupo. Mwalimu huyo anatumia muda mwingi kuendesha Bajaj mjini moshi muda...
  2. M

    Maneno gani mazuri ya X wako unayokumbuka?

    Alikuwa ana K inayolowa faster. Yaani kumshika shika tu kidogo kwa mapaja au kwa matiti ; aaaaah basi , **** inatowa maji chaaaa! Nakumbuka nilikuwa sipati shida ya kumwandaa,😃! Yaani alikuwa na kuna raini sana hadi raha!
  3. M

    Waziri Kigwangalla: Walishindwa kuniua wakati ule! Naingia vitani kwa silaha zote na vita ni asili yangu

    Mimi ningependa hiki kipande cha majigambo:" Sijawahi kuwa dhaifu wala mnyonge. Sijawahi kukubali kuonewa, kukandamizwa wala kunyanyaswa maishani mwangu. Huwa napigania haki na heshima yangu. Huyu ndiye mimi."
  4. M

    Ona hapa Tabia zinazokera na Uchafu wa watu wanaokaa au kupanga Nyumba Chumba Single Self

    Kama kuna ukweli , iweje kusiwe na maana! Nina wasi wasi na elimu yako
  5. M

    Ona hapa Tabia zinazokera na Uchafu wa watu wanaokaa au kupanga Nyumba Chumba Single Self

    Chumba single Self ni chumba kimoja chenye choo ndani yake. Kwa mpangaji wa nyumba au mtu alowahi kupanga vyumba atakuwa wanamielewa sawa sawa. Wapangaji wengi hapa mjini wanatafuta vyumba self. Nikimanisha either Single self (Chumba kimoja na choo ndani) ama double Self ( Chumba na sebule...
  6. M

    UCHUNGUZI: Girlfriend/ Fiancee; Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake Hatari kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
  7. M

    Girlfriend Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa...
  8. M

    Girlfriend/ Fiancee; kubana kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa na madhara yake hatari kwa wanaume kuishiwa nguvu za kiume na ndoa kwa ujumla

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
  9. M

    Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

    Wengi wamechangia na nimepitia comments Kama zote ila hii nadhani ndio jibu tosha.@Magode thanks nimekuelewa kwa kiasi kikubwa. Ila bado naushamba wa jinsi gani ya kujisafisha kwa mkono. Yaani mkono wote hulowana kiganja kizima na hubakia na harufu ya pili tofauti na kuchuchumaa ambapo...
  10. M

    Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

    Habari za msimu wa siku kuu. Choo cha kisasa cha kukalia ni dizaini ya choo chenye sink ya kukalia na kwa asilimia kubwa kilichotengenezwa kwa ajili ya watu wenye ulemavu au wenye matatizo ya miguu na kiafya kwa ujumla ikiwemo na wazee tofauti na kile cha kawaida cha kuchuchumaa. Kwa hali...
Back
Top Bottom