Search results

  1. L

    Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

    Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila...
  2. L

    Naenda Tanga kuoa

    Habari wadau, i hope wote mpo poa sana. Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa Dar es Salaam. Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi mwenyewe na mademu huku wa dar naona wazinguaji na mimi binafsi sipendi kusumbuka na kubembeleza sana...
  3. L

    Wakazi wa Buguruni nini kimewavuta kukaa huko?

    Hivi unaanzaje kwenda kutafuta chumba cha kuishi maeneo ya buguruni? Kwa wakazi wa buguruni nini kimewavuta kukaa huko? Mimi naona kama sipaelewi hivi.
  4. L

    Je, mwanamke utamchukuliaje mumeo au boyfriend wako?

    Nauliza kwa nyie wanawake,ikiwa umegundua na kuthibitisha kuwa mumeo aliwahi kuwa au yupo katika mahusiano ya jinsia moja. Je, utamchukulia hatua gani,ikiwa anakupenda sana na kukujali na kwenye show hakuangushi yupo caring etc? Kuna dada anaomba ushauri kagundua mume wake anawafanya mashoga...
  5. L

    Mambo ya kazi, ushauri tafadhali

    Habari za humu wadau, Katika harakati harakati za kutafuta kazi nikawa nimepata kazi katika taasisi moja hapa nchini(private). Nakaribia kumaliza mwaka sijafanya chochote ambacho najivunia au nasema hapa kuna kazi nimefanya, kila nikijaribu kuonesha uwezo wangu kwamba hiki kitu naweza...
  6. L

    Msaada kuhusu ulaji wa mafuta wa gari yangu

    Wadau napenda kujua kuhusu hii gari yangu cc 990 kuhusu fuel consuptiom nimeweka mafuta ya 20k nikatembea nayo kwa umbali wa km 55.1 mafuta yakakata kabisa. Ningependa kujua ni pia kuwa odometers zinadanganya au je pia kwa hiyo distance ni sahihi au kuna shida. Mafuta ya 20 ni sawa na litre...
  7. L

    Mabenki na hizi marathoni

    Habari wakuu, Kuna kitu kimoja naomba kushare nanyi humu jf ili niweze kupata uelewa na kujua zaidi labda mimi sijui vitu vingi. Ipo hivi, mimi huwa napenda sana kufanya jogging huku mtaani kwetu sasa mwaka huu nikasema nishiriki hata marathon moja sasa nikasema ntashiriki kill marathon,sasa...
  8. L

    Wanawake hawanipendi

    Habari za humu wadau, Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani, najaribu kuwatongoza napata na...
  9. L

    Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

    Habari zenu humu wadau. Ninahitaji msaada wenu katika mawazo na ushauri. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 mkazi wa jijini Dar es salaam(Sinza). Sijao wala sina mtoto, nina kazi ambayo huniingizia zaidi ya milioni moja kwa mwezi. Nimekuwa mtu wa nisiyejiamini kabisa na kuona dunia au watu...
  10. L

    TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

    Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli. Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha...
  11. L

    Kuna uhusiano gani kati ya PEP na nguvu za kiume?

    Wanabodi kwa asiyejua PEP ni dawa za kuzua maambukizi ya ukimwi ikiwa umefanya ngono na mtu aliyeathirika na ukimwi ama kama kwenye hatari ambayo itakufanya huwe exposed na vvu. Basi bana week iliyopita nilikutana na demu mmoja hivi kwa bahati mbaya katika harakati za ngono condom ikapasuka...
  12. L

    UKIMWI wazidi waangamiza wapenzi wa jinsia moja

    Habarini za jioni humu wanajamvi. Ninatumaini mko poa sana. Najua hii mada itawakera wengi sana lakini ukweli lazima usemwe ili jamii iokoke. Kwanza kabisa naipongeza serikali katika mapambano dhidi ya UKIMWI. Serikali inajitahidi sana kupunguza maambukizi ya gonjwa hili kwamba kwa ambaye...
  13. L

    Roho ya kukataliwa

    Habari za humu wanajamvi,natumaini mpo poa kabisa.Mimi nikijana wa umri miaka 27 mkazi wa hapa Dar es salaam. Ningependa kushare na nyie hii hali ya kuwa kama nina roho ya kukataliwa hadi najiona mnyonge sana na mwenye mawazo mara nyingi nikiwa natoa mchango wangu either wa mawazo au kitu wazo...
  14. L

    Naishi lakini nina hofu

    Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili. Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka naingia ilikuwa ni startup yaani ndo inaanza ila...
  15. L

    Msaada wa afya kiakili

    Habari za humu na heri ya Mwaka mpya 2021.Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25 mkaazi wa hapa jijini dar es salaam.Nina elimu ya shahada ya kwanza ya uhandisi katika chuo kimoja wapo hapa Dar.Naamini humu JamiiForums kuna wataalam au watu ambao wanaweza kunisaidia au kunipa ushauri...
  16. L

    Nafikiria kuloga mdeni wangu

    Habari za humu wanajamii,kama kichwa kinavyosomeka hilo ndo lengo langu baada ya kumkopesa jamaa yangu rafiki toka kitambo pesa takribani milion tatu,nimefikia hatua hii baada ya yeye kunipiga tarehe sana nikiona kama vile hakuna matumaini ya kunilipa,kibaya zaidi hatukuandikishana kiasi hicho...
  17. L

    Je, nifanye nini?

    Habari za humu wanaForum, Kwanza kabisa nitoe pole kwa watanzania wote katika msiba huu mzito wa rais wetu mstaafu Benjamin WIlliama Mkapa. Niende moja kwa moja katika suala langu labda nitapata mawazo ya kunisaidia katika muktadha mzima wa maisha yangu kwani ninaamini humu kuna watu mbali...
  18. L

    Nimtafune?

    Habari za humu jf, Nipo kimasomo hapa Dar es salaam ninaishi geto moja na mshikaji wangu yaani tumepanga pamoja kushare cost sasa yule jamaa yangu ana demu wake mmoja kisu kweli huwa anakuja pia pale geto. Sasa siku moja alikuja geto hakumkuta mshikaji sasa katika kupiga stori za hapa na pale...
  19. L

    Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

    Habarini za humu wadau, juzi tarehe sita mwezi wa 12. Nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21. Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status. Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata...
Back
Top Bottom