Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 748
Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili.
Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka naingia ilikuwa ni startup yaani ndo inaanza ila toka ianze na mimi hadi leo mshahara napokea vizuri tu kila mwezi kama 800k hivi per month, ila cha kushangaza tokea company ianze mpaka leo haijawahi rudisha hela iliyokuwa wanainvest shortly haiingizi faida toka ianze.
Nimepanga na mtoto mmoja ila nina hofu siku ikifungwa sijui itakuwaje na ajira zilivyongumu hivi nimejaribu vibiashara hata haviendi yaani full stress sijui hata niseme vipi