Naenda Tanga kuoa

Lukaku marata

JF-Expert Member
Dec 4, 2019
448
748
Habari wadau, i hope wote mpo poa sana.

Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa Dar es Salaam.

Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi mwenyewe na mademu huku wa dar naona wazinguaji na mimi binafsi sipendi kusumbuka na kubembeleza sana.

Huko tanga sina mwenyeji wala sijui kwa kuanzia.Nina liziko ya wiki kufanikisha hilo.Nipo serious.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom