Msaada kuhusu ulaji wa mafuta wa gari yangu

Lukaku marata

JF-Expert Member
Dec 4, 2019
448
748
Wadau napenda kujua kuhusu hii gari yangu cc 990 kuhusu fuel consuptiom nimeweka mafuta ya 20k nikatembea nayo kwa umbali wa km 55.1 mafuta yakakata kabisa.

Ningependa kujua ni pia kuwa odometers zinadanganya au je pia kwa hiyo distance ni sahihi au kuna shida. Mafuta ya 20 ni sawa na litre 7.1.

Msaada tafadhali
 
ni foleni au highway?
 
Nina corola 1400cc inakula 10km/liter highway, inategemea:

  • Upo highway?
  • Utaalam wako wa Acc na RPM.

Inaweza kwenda zaidi, ila mie naona ni kama sawa tu
 
Maana hiyo 1ltr=7. Km..
Kuna factors nyingi zinazochangia ulaji wa mafuta uwe tofauti na ilivyoandikwa na mjapan...
Pitia thread humu zitakusaidia...mimi pia sio mtaalam huwa nasoma humu humu
 
du hii kali,yaani cc 990 itumie 7km/litre?,jamaa yangu ana belta 990cc,mafuta ya 17000/=anatembelea km 90,ila yake ni mpyampya namba E,na hakuna foleni,ni high way,,gari yako ni ipi kwanza?
 
Wadau napenda kujua kuhusu hii gari yangu cc 990 kuhusu fuel consuptiom nimeweka mafuta ya 20k nikatembea nayo kwa umbali wa km 55.1 mafuta yakakata kabisa.

Ningependa kujua ni pia kuwa odometers zinadanganya au je pia kwa hiyo distance ni sahihi au kuna shida. Mafuta ya 20 ni sawa na litre 7.1.

Msaada tafadhali
Huwezi kupewa ushauri mzuri bila kutoa taarifa zaidi. Pia lazima uwe na uhakika sehemu unayoweka mafuta wanakupimia kihalali. Kuna sehemu wanaiba na ni sehemu nyingi kweli kweli.
 
Wadau napenda kujua kuhusu hii gari yangu cc 990 kuhusu fuel consuptiom nimeweka mafuta ya 20k nikatembea nayo kwa umbali wa km 55.1 mafuta yakakata kabisa.

Ningependa kujua ni pia kuwa odometers zinadanganya au je pia kwa hiyo distance ni sahihi au kuna shida. Mafuta ya 20 ni sawa na litre 7.1.

Msaada tafadhali
Iko juu sana kwa CC hizo
 
Pole sana...ulaji wa mafuta wa Gari upo very subjective to so many factors..

1. Ukanyagaji wa gas pedal yako
2. Barabara upitayo ni mwinuko au tambarale
3. speed unayotembea..mfano speed below 70 Gari inakua inefficient na speed above 120 Gari inakua inefficient (but hii ni kwa gari zenye traditional automatic gear box kwakua gear zake ni chache)
4. Kuna issue ya plugs na quality yake
5. Kuna uzima wa engine yaan level of compression katika kila cylinder...kama engine ina compression ya chini basi gari itakula mafuta because it will be working harder to power wheel.. vitu vinavoweza fanya compression iwe chini ni(kutokaza plugs, ring kuchoka, valve seals kuchoka, exhaust pipe kupasuka au kuweka exhaust pipe/muffler kubwa...vvti solenoid kutokua nzima ipasavo.
6. gearbox isipo kua na afya njema nayo inaweza leta shida ya fuel consumption (hapa ni kutokana na slippage mdani ya gear box...hii inawezs sababishwa na matumizi ya non recommended transmission fluid, or kuchoka kwa transmission fluid or clutches za transmission system kuchoka)
7. Kingine kinachoweza fanya Gari ikunywe mafuta sana na mchakato mzima wa combustion process kutokua kwa level inayotakiwa.. mfano hewa kua ndogo kutokana na air-cleaner kua chafu sana, au mass air flow sensor kua chafu na kushindwa ku pick data ya hewa inayopita kwenye throttle body hivo kupeleka wrong signal to ECU nakufanya air-fuel mixture ratio kutokua vizuri so gari kuanza kula mafuta mengi. Also since combustion process ni closed loop system basi pia oxygen sensor which provide details/feedback on effectiveness ya whole combustion process inaweza kua defective na kutoa signal zisizo sahihi na ku trigger ECU iruhusu injectors zimwage maguta mengi kwenye combustion chamber..pia check fuel injector zako kama zipo sawa na hazina any leakage

8. Kingine angalia tire pressure na uzito unaobeba kwenye gari unnecessarily...

9. Uwekaji wa matairi makubwa ambayo si recommended na manufacturer.

10. Kama Gari ina ac system check kama unapowasha ac je compressor inapata muda wa ku circle on and off? Kama haifanyi hivo basi lazima ikinyooshe..pia ac yako ni original iliyokuja na Gari au ni hizi za ku modify hapa Tanzania kwa kuweka compressor ambayo haikuja na Gari...mfano kama vitz inayokuja na compressor ya umeme(variable displacement compressor) unatoa unaweka compressor manual(fixed displacement compressor) hapa napo ni tatizo kwa modern cars...au system yako ya Ac umejaza gasi hivi karibuni? Na wakati wanajaza gas waliweka kwa kuzingatia weight ya refrigerant recommended for that specific car of yours or ndo ule ujazaji wa gas kwa kuangalia ubaridi wa return pipe na wa mwagia maji condenser basi mambo yakawa fresh,? Ni hivi gas ya ac isipo jazwa kwa kufuata weight basi ujue wakati wa jua kari gari itakutesa ukiwasha ac kwakua wakati wa joto kali gas u expand na kutengeneza pressure kubwa sana kwenye ac system na engine inakua inazumia nguvu kubwa sana kuzungusha compressor kwakua pressure imekua kubwa na fan ya ac utasikia inapiga kelele nyingi sana kupambana na ile pressure kwakua pressure ikiwa kubwa na joto la ac kwenye condenser linakua kubwa sana..so heavy compressor inasababisha engine ikule mafuta mengi.

Pima fuel trim level then observe long term fuei trip ipo ngapi na check short term fuel trim then pima kwa mashine kuangalia details za oygen sensor.you should be in a position to know what is wrong
 
Kwanza angalia matairi kama kuna upepo wa kutosha
Hili ni muhimu pia maana kuna watu hawajawahi kuangalia pressure kabisa
 
Pole sana...ulaji wa mafuta wa Gari upo very subjective to so many factors..

1. Ukanyagaji wa gas pedal yako
2. Barabara upitayo ni mwinuko au tambarale
3. speed unayotembea..mfano speed below 70 Gari inakua inefficient na speed above 120 Gari inakua inefficient (but hii ni kwa gari zenye traditional automatic gear box kwakua gear zake ni chache)
4. Kuna issue ya plugs na quality yake
5. Kuna uzima wa engine yaan level of compression katika kila cylinder...kama engine ina compression ya chini basi gari itakula mafuta because it will be working harder to power wheel.. vitu vinavoweza fanya compression iwe chini ni(kutokaza plugs, ring kuchoka, valve seals kuchoka, exhaust pipe kupasuka au kuweka exhaust pipe/muffler kubwa...vvti solenoid kutokua nzima ipasavo.
6. gearbox isipo kua na afya njema nayo inaweza leta shida ya fuel consumption (hapa ni kutokana na slippage mdani ya gear box...hii inawezs sababishwa na matumizi ya non recommended transmission fluid, or kuchoka kwa transmission fluid or clutches za transmission system kuchoka)
7. Kingine kinachoweza fanya Gari ikunywe mafuta sana na mchakato mzima wa combustion process kutokua kwa level inayotakiwa.. mfano hewa kua ndogo kutokana na air-cleaner kua chafu sana, au mass air flow sensor kua chafu na kushindwa ku pick data ya hewa inayopita kwenye throttle body hivo kupeleka wrong signal to ECU nakufanya air-fuel mixture ratio kutokua vizuri so gari kuanza kula mafuta mengi. Also since combustion process ni closed loop system basi pia oxygen sensor which provide details/feedback on effectiveness ya whole combustion process inaweza kua defective na kutoa signal zisizo sahihi na ku trigger ECU iruhusu injectors zimwage maguta mengi kwenye combustion chamber..pia check fuel injector zako kama zipo sawa na hazina any leakage

8. Kingine angalia tire pressure na uzito unaobeba kwenye gari unnecessarily...

9. Uwekaji wa matairi makubwa ambayo si recommended na manufacturer.

10. Kama Gari ina ac system check kama unapowasha ac je compressor inapata muda wa ku circle on and off? Kama haifanyi hivo basi lazima ikinyooshe..pia ac yako ni original iliyokuja na Gari au ni hizi za ku modify hapa Tanzania kwa kuweka compressor ambayo haikuja na Gari...mfano kama vitz inayokuja na compressor ya umeme(variable displacement compressor) unatoa unaweka compressor manual(fixed displacement compressor) hapa napo ni tatizo kwa modern cars...au system yako ya Ac umejaza gasi hivi karibuni? Na wakati wanajaza gas waliweka kwa kuzingatia weight ya refrigerant recommended for that specific car of yours or ndo ule ujazaji wa gas kwa kuangalia ubaridi wa return pipe na wa mwagia maji condenser basi mambo yakawa fresh,? Ni hivi gas ya ac isipo jazwa kwa kufuata weight basi ujue wakati wa jua kari gari itakutesa ukiwasha ac kwakua wakati wa joto kali gas u expand na kutengeneza pressure kubwa sana kwenye ac system na engine inakua inazumia nguvu kubwa sana kuzungusha compressor kwakua pressure imekua kubwa na fan ya ac utasikia inapiga kelele nyingi sana kupambana na ile pressure kwakua pressure ikiwa kubwa na joto la ac kwenye condenser linakua kubwa sana..so heavy compressor inasababisha engine ikule mafuta mengi.
Kwa kifupi ungesema tu kuwa ufukara na umiliki wa gari hayatangamani.
 
Pole sana, Chombo chake cc990 ambayo ni ndogo sana... Unaweka 20k ambayo ni lita 7, bado unahoji inakuaje...

Kuna mambo yanafurahisha sana...
 
Dah rafiki yangu nashukuru kwa comment hii dhidi ya memba alietaka kupata msaada kwenye forum hii dhidi ya changamoto aliyo nayo.
Hizi ni chombeza ndogo ndogo za kutaniana, wala usiwe na shida. Changamoto anayoulizia naijua sana na hayo ndiyo maisha yangu.
 
Back
Top Bottom