Nimtafune?

Nimtafune?

Lukaku marata

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2019
Posts
448
Reaction score
752
Habari za humu jf,

Nipo kimasomo hapa Dar es salaam ninaishi geto moja na mshikaji wangu yaani tumepanga pamoja kushare cost sasa yule jamaa yangu ana demu wake mmoja kisu kweli huwa anakuja pia pale geto.

Sasa siku moja alikuja geto hakumkuta mshikaji sasa katika kupiga stori za hapa na pale akawa ananiambia mpenzi wake yaani jamaa yangu hawezi shughuli i.e hamridhishi kitandani.

Sasa ninajiuliza ananiambia haya kwanini; au anataka nimtafune? ila jamaa akijua si ugomvi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukimla ndo gia ya wewe kutoka hapo maana huyo mwanamke anataka aishi na jamaa hapo.

Mmmh sidhani,cost zitakuwa kubwa jamaa kuhandle peke yake hatoweza ndo maana tunaishi wote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmekutana Mala*a wawili na ibilisi pembeni yenu. Sasa kama rafiki yako anayejua kutongoza kashindwa wewe kivuruge utamuweza? Hivi ukichimbwa choo utasema umeonewa kweli?
 
We jamaa anakuridhisha? Umesema mnaishi wawili chumba kimoja!

Sasa kuishi chumba kimoja ndo nn? Mbona wanafunzi wengi tu wanaishi chumba kimoja na maisha yanasonga ubaya wewe unawaza mambo ya homo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mm nakushahuri mtafune, usije ukaonekana boya na wewe, ndio mtafune


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa kuishi chumba kimoja ndo nn? Mbona wanafunzi wengi tu wanaishi chumba kimoja na maisha yanasonga ubaya wewe unawaza mambo ya homo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa huyu anataka kumvua chupi demu wa mchizi wake na tayar kishajionesha yeye ni fundi unazani c atalamba maji ya shurubat ya mwenzake? Huyu ni Snitch na huyo demu pia
 
Back
Top Bottom