Search results

  1. Lemunyake

    Usajili wa Gari

    Habari za leo wajameni. Hivi kuna njia ya kujua mmiliki wa gari fulani kwa kutumia namba ya gari ? Najua nchi zingine unaweza kufanya hivyo online. Huku kwetu vipi ?
  2. Lemunyake

    Fitina (Fitna )

    Naombeni msaada . Hili neno tafsiri yake kwa kiingereza ni nini ???
  3. Lemunyake

    Best New Food Joint

    Juzi nimegundua sehemu nzuri kweli ya kupata chakula , chenye international standards at Tz pricing. Huyu dogo alianza kwa kupika samaki kwa style tofauti na pamoja na specialty yake ya Ngisi !! Sasa hivi amediversify na chakula kilichopo sasa hivi includes , seafood , kuku - tandoori style ...
  4. Lemunyake

    Kelele Usiku

    Hivi ni haki kweli kwa nyumba za ibada kukesha huku wakiwa wanapiga muziki kwa sauti ya juu hata kuliko disco? Ile sheria ya kelele usiku imefutwa au? Nakumbuka kuna kipindi kulikuwa na details za wanaohusika kufwatilia mambo haya , maana kwa kweli ni kero! Kuna mwana JF yeyote anayeweza...
  5. Lemunyake

    Sex After CS ?

    How long should a mother stay without sex after having a C Section
  6. Lemunyake

    Laptop for sale

    Imetumika for only two months . Owner is leaving country and would like to sell it . Any offers ?? USD 700 O.N.O HP Compaq 6530s Notebook PC . CPU:Intel Core 2 Duo T5870 (2.0GHz, 2 MBL2 cache, 800MHz FSB) Screen:14.1 inch Wide 1280 x 800 WXGA BV Memory:2GB DDR2 800MHz RAM Operating...
  7. Lemunyake

    Gari Inauzwa

    Gari ina uzwa aina ya Mark II GX 81 . Metallic grey in color , well maintained. In country since 2005 , driven only in town . 5.5 mil o.n.o.
  8. Lemunyake

    Registering a New Company and Class A permit

    Naombeni ushauri wenu wana sheria. If I want kufungua a new company with a foreigner , kawaida step ya kwanza ni Kuregister Jina la Kampuni . Kwenye form ya kuapply for jina la kampuni , you need to write the names of Partners/Directors in the company . Sasa nimesikia that if you have a...
Back
Top Bottom