Kelele Usiku

Lemunyake

Senior Member
Sep 24, 2007
189
28
Hivi ni haki kweli kwa nyumba za ibada kukesha huku wakiwa wanapiga muziki kwa sauti ya juu hata kuliko disco? Ile sheria ya kelele usiku imefutwa au? Nakumbuka kuna kipindi kulikuwa na details za wanaohusika kufwatilia mambo haya , maana kwa kweli ni kero! Kuna mwana JF yeyote anayeweza kutusaidia na contacts zao?
 
We nae saa hizi ni time za wezi.. Bado uko macho tu? Au ni hizo kelele za wasabato?
 
Jimiminie viroba kadhaa, halafu chapa usingizi.... achana na hao, wanaiombea nchi yako
 
Back
Top Bottom