Registering a New Company and Class A permit | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Registering a New Company and Class A permit

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Lemunyake, Mar 3, 2010.

 1. Lemunyake

  Lemunyake Senior Member

  #1
  Mar 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naombeni ushauri wenu wana sheria. If I want kufungua a new company with a foreigner , kawaida step ya kwanza ni Kuregister Jina la Kampuni . Kwenye form ya kuapply for jina la kampuni , you need to write the names of Partners/Directors in the company . Sasa nimesikia that if you have a foreigner in the list lazima uambatanishe Residence Permit Class A. Sasa swali langu ni , Kampuni bado haijawa registered , hata JINA la kampuni bado , how do you apply for a Class A? Under which company's name ? Ningedhani kwamba the Name can be registered , then at the time of getting Business licence ndo wahakiki kwamba huyo Foreign Investor / Partner and Class A? Naombeni ufafanuzi!!
   
 2. Devils Advocate

  Devils Advocate Member

  #2
  Mar 3, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Talk na watu wa uhamiaji kwanza ili kujua what level ya permit inatakiwa. Pia cheki na watu wa TIC (investment). lengo ni kutokuwa na makampuni ya kisanii ambayo yanafanya biashara zinazoweza kufanywa na locals.

  If i had more time i could explain but commmon sense inanionyesha kuwa hujafika BRELLA wala TIC so inakuwa ngumu kidogo kukupa mwanga. Unaweza pia ukaanza na websites zao.

   
 3. Lemunyake

  Lemunyake Senior Member

  #3
  Mar 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Actually nimeenda BRELA Kuregister jina la Kampuni and this is what i was told.
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 2,086
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  unachotakiwa ni hivi
  1.unaenda Brela na Memart ya kufungua kampuni ukiwa umeshajaza form zote na kuzisaini na huyo partner wako mgeni.yeye mgeni atatumia passport yake yenye visa alali ya tanzania ,ni nzuri kama ameingia na bizness visa.
  2.after getting company reg certficates and leseni (pia leseni unatumia passport yake)
  3.ndio utaenda uhamiaji kumwombea class A or B any.
  iwapo utaitaji msaada wa kusajiri kampuni nnaweza kukusaidia,kwa mimi itakuchukuwa atleast 15 days kuwa na full legal company +class A ya huyo mgeni wako ni PM for more info
   
 5. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Go to TIC and every thing will be cleared. You don't need a consultation fee for that, I think. Or you could check their contantacts as the other friend suggests above and communicate with them straight away. Kila lakheri ktk kuanzisha kampuni mkuu, nasi tupo nyuma tunachechemea.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...