Gari Inauzwa

Lemunyake

Senior Member
Sep 24, 2007
189
28
Gari ina uzwa aina ya Mark II GX 81 . Metallic grey in color , well maintained. In country since 2005 , driven only in town . 5.5 mil o.n.o.
 
p1000609q.jpg


p1000612.jpg


PICHA HIZO HAPO
 
Kaka nimeliona, sasa 4 mil unakula? Halafu hili ni six cylinder au?
 
Mkuu unasema gari iko nchini toka 2005 mbona husemi mwaka wa gari!
 
Kwa bei hiyo mshikaji unapata GX 90 nzuri sana. Siku hizi GX100 zinauzwa TZS 9,000K, sasa hako ka GX81 utampata nani kwa TZS 5,500K?
Uza kwa kati ya TZS 3, 000K na 4,000K kama bado inadai utapa mteja. Uking'ang'ania hiyo 5.5 tafuta washashi wale wanaotoka Burundi na Congo DRC.
Mbongo humpati maana hela ni ngumu.

Samahani kama nimekuudhi - biashara maongezi.
 
Back
Top Bottom