Search results

  1. kibali

    Mbona jua la leo limechomoza na ukali mkubwa!

    Sasa mkuu utashinda kny gari na nyumbani?
  2. kibali

    Mbunge Musukuma: Ukiwatoa machinga Mtaa wa Congo biashara imekufa. Asema pamoja na Mwigulu kumtaja tajiri yeye ni zao la machinga

    Waendelee kubeba viporo kwanza itawasaidia kubana matumizi, mazingira lazima yasafishwe.
  3. kibali

    INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

    Hongera wewe ni marketer mzuri kabisa, ntakucheck
  4. kibali

    UTEUZI: Dkt. Nicolaus Herman Shombe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NDC

    Hahaha namfananisha sana na yule mzee alikuwaga anazunguka na mkasi wa kuzindua
  5. kibali

    Zari Hassan - Nimeolewa mara moja

    Nyie ndio mnasababisha wanawake wanakimbilia michina na sajari, kila mtu ni mzuri kwa kadri alivyoumbwa na Mungu.
  6. kibali

    Zari Hassan - Nimeolewa mara moja

    Hatutofautiani aisee napenda sana watoto
  7. kibali

    Zari Hassan - Nimeolewa mara moja

    Amina mama D nilishaanza mchakato ameniponyoka last week first trimester, namshukuru Mungu kwa yote. Nimekupenda ghafla, barikiwa sana na familia yako.
  8. kibali

    Mkenya, nilifanyiwa uchawi, naona heri nihamie Tanzania

    Kuna mahali Afrika hakuna uchawi? Changamoto hazikimbiwi
  9. kibali

    Zari Hassan - Nimeolewa mara moja

    Life style zetu zimebadilika mno na hatuweki tena mawazo ya kusaidiwa na watoto,tunainvest kwao na kwa ajili ya future yao ndio maana wengine tunakuwa na kiasi, wazazi wa zamani walikuwa wanazaa mpaka watoto 10 bila wasiwasi na maisha yanasonga
  10. kibali

    Zari Hassan - Nimeolewa mara moja

    Watoto ni baraka na uzuri anawamudu, mimi natamani ningekuwa nao 6 ila life la sasa hivi huh!
  11. kibali

    Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

    Huyo guru wako mbona wengine hatujawahi kumsikia? Sasa hivi mnalazimisha kila mtu awe celebrity wa taifa hata kama ni wa mtaani kwenu. Haya hongereni kwa harusi
  12. kibali

    Shaka, tukusikilize wewe na CCM au Serikali?

    Shaka ana kiherehere mpaka kimepitiliza, anataka kuiga ile style ya Kinana kufuatilia watendaji wa serikali lakini kiherehere chake kinasababisha anavuka mpaka.
  13. kibali

    Leo hii Lemutuz ni wa kumchunia Makonda kweli?

    Amechungulia fursa yuko msoga sasa
  14. kibali

    Baada ya video kuvuja utofauti wa Nigeria social network vs Tanzania waonekana

    Inawezekana huyo boyfriend alitengeneza mazingira ya kupiga pesa akala dili na mtu, Tiwa na ujanja wote alikubalije kurekodiwa!
  15. kibali

    Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Walioaminiwa kutafsi sheria ndio wanaopotosha! Aibu sana
Back
Top Bottom