Zari Hassan - Nimeolewa mara moja

Kuna mdau hapo juu anadai Zari hana tako..anamuongelea Zari gani??!..au anataka tako la aina gani?

images - 2021-11-02T111354.752.jpeg


images - 2021-11-02T111254.371.jpeg
 
Umefika 5?

Hongera sana

Asante mwaya

Yaani kuzaa ni raha na kila hatua ya uzazi ina raha zake
Kuanzia mimba
Kile kicheko cha kukabidhiwa mtoto leba,
Kunyonyesha, kumkuza mtoto aanze kukaa, kutembea kumbia, aanze shule
.............
Yaani kila mwenye kuhitaji mtoto Mungu amjalie uzao bila kuhofia changamoto ambazo ni kawaida kwa kila mwanadamu
 
Ila takoless, asitusumbue. Hana hata tako kabisa, tuweke ukweli, mwanamke bila tako hana hamasa kabisa, wazungu wengi hawavutii sbb hawana tako. Mkinuna, nuneni, ukweli mchungu huu.
Nyie ndio mnasababisha wanawake wanakimbilia michina na sajari, kila mtu ni mzuri kwa kadri alivyoumbwa na Mungu.
 
Amina mama D nilishaanza mchakato ameniponyoka last week first trimester, namshukuru Mungu kwa yote. Nimekupenda ghafla, barikiwa sana na familia yako.

Pole sana, Muombe sana Mungu sanaaaa. Pia jitahidi kukutana na Dr mzuri wa wanawake kabla hujapata tena ili akupime ajue chanzo na akupe tiba hiyo isijirudie

Asante sana kibali🙏
 
Napambana nimeshamfikia sasa natamani twins tena wafike saba

Wapenda watoto tujuane😃😃😃😃
Nilikuwa mpenda watoto hapo kale ila life likanibadilisha mtizamo, nikapitia misukosuko, nikaja kutana na mtu akitaka mbegu, kwa heshima zote Basi nikijaaliwa uzima nitaongeza 2 au 3, nitakuwa na watoto wengi Mungu aniweke niwaone mpk uzee,,,
 
Nilikuwa mpenda watoto hapo kale ila life likanibadilisha mtizamo, nikapitia misukosuko, nikaja kutana na mtu akitaka mbegu, kwa heshima zote Basi nikijaaliwa uzima nitaongeza 2 au 3, nitakuwa na watoto wengi Mungu aniweke niwaone mpk uzee,,,

Mungu amesikia haja za moyo wako na atafanya kadri ya mapenzi yake na furaha yako
 
Back
Top Bottom