Mkenya, nilifanyiwa uchawi, naona heri nihamie Tanzania

beluwa

Member
Jul 15, 2020
77
78
Nishawai posti hapa kutafuta ushauri wa kuondoa uchawi

Hivi juzi baada ya mimi kudhani mambo yangu yanaenda shwari, nimefungua duka la branding, nikalipa miezi sita na kuleta machines kadhaa, sasa baada ya kutumia sarafu zangu zote nikaanza kazi ningojee matokeo, nirefeshe mtaji, washenzi wamenirudia, sasa wanataka kuniangusha jindi walivyojaribu awali, ingawa wakati huo sikuwa na chochote.

Nahisi kuudhika pakubwa, ila njama zote za kichawi zinatumika kujaribu kunilazimu nitoke huku, hata sasa kazi imepungua kwani hata jina linaharibiwa kimakusudi. Mie naona sasa dawa nikuje tz nianze upya, lakini wajinga hawa wapate adabu mpaka waangamie. Ni kazi zipi mkenya yuaweza akazifanya huko, hapa mimi nishafanya sales za mikopo, I'm a graduate. pia kuna vitaa flani mimi hutengeneza, sijui kama vipo huko, I'll attach a video mvione.

I'm seeking guidance into tz life, and lile jiji nzuri la kuanzia. sijawai ona watu walio wivu kiwango hiki, jamani jua wakenya ni watu useless. usishangae hawaendelei ikiwa vijana wanaangamizwa na kurudishwa nyuma hivi. a r gh
https://jamii.app/JFUserGuide KENYA.

nipeni mawaidha ya huko. pia nataka nipate waganga mashuhuri wa huko, wanifanyie kisasi. This should not be allowed to happen, bila consequences.

Nishawai posti hapa kutafuta ushauri wa kuondoa uchawi

hivi juzi baada ya mimi kudhani mambo yangu yanaenda shwari, nimefungua duka la branding, nikalipa miezi sita na kuleta machines kadhaa, sasa baada ya kutumia sarafu zangu zote nikaanza kazi ningojee matokeo, nirefeshe mtaji, washenzi wamenirudia, sasa wanataka kuniangusha jindi walivyojaribu awali, ingawa wakati huo sikuwa na chochote.

nahisi kuudhika pakubwa, ila njama zote za kichawi zinatumika kujaribu kunilazimu nitoke huku, hata sasa kazi imepungua kwani hata jina linaharibiwa kimakusudi. mie naona sasa dawa nikuje tz nianze upya, lakini wajinga hawa wapate adabu mpaka waangamie. ni kazi zipi mkenya yuaweza akazifanya huko, hapa mimi nishafanya sales za mikopo, I'm a graduate. pia kuna vitaa flani mimi hutengeneza, sijui kama vipo huko, I'll attach a video mvione.
I'm seeking guidance into tz life, and lile jiji nzuri la kuanzia. sijawai ona watu walio wivu kiwango hiki, jamani jua wakenya ni watu useless. usishangae hawaendelei ikiwa vijana wanaangamizwa na kurudishwa nyuma hivi. a r gh
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala KENYA.

nipeni mawaidha ya huko. pia nataka nipate waganga mashuhuri wa huko, wanifanyie kisasi. This should not be allowed to happen, bila consequences.

Hao unaoplan kuwakimbia huko kenya na hapa wamejaatele sasa na hapa uki chemka plan ni kwenda wapi tena
 
Hakna sehem utakayo fungua biashara na ufanikiwe tu bila kupata changamoto
hii ni changamoto specific sana. alafu sio natural, mtu anailazimisha kwangu. na sio mara yaa kwanza

huko kwenu vitu hivi hutengezwa? sidhani watu huwafanyia wasiowajua ushirikina
 
japo hukuleta mrejesho ila nakumbuka nliwahi kushauri kitu PM
nilisahau mwenzangu, pilka pilka ziliniwahi

alafu nikapata linl local, but bad luck, my linker alipata ajali akafa kabla aznipatanishe. huko nikikuja itakua vipi?
 
ohoo doh pole Sana ...

Kama ukija check Ile nlikutumia. kama itakua haipatikan niambie nikutafutie nyingine kama ntaweza pata. au Kwa kufata yale maelezo utampata pia alipo na akakusaidia insha'Allah..

thanks God nimeona comment yako again JF.
Karibu mkuu
 
Mbona kama sielewi maudhui ya huu uzi, yaani uikimbie Kenya kisa uchawi, na zaidi ukimbilie Sumbawanga eti ndio kusafi bila uchawi.....
 
Nishawai posti hapa kutafuta ushauri wa kuondoa uchawi

Hivi juzi baada ya mimi kudhani mambo yangu yanaenda shwari, nimefungua duka la branding, nikalipa miezi sita na kuleta machines kadhaa, sasa baada ya kutumia sarafu zangu zote nikaanza kazi ningojee matokeo, nirefeshe mtaji, washenzi wamenirudia, sasa wanataka kuniangusha jindi walivyojaribu awali, ingawa wakati huo sikuwa na chochote.

Nahisi kuudhika pakubwa, ila njama zote za kichawi zinatumika kujaribu kunilazimu nitoke huku, hata sasa kazi imepungua kwani hata jina linaharibiwa kimakusudi. Mie naona sasa dawa nikuje tz nianze upya, lakini wajinga hawa wapate adabu mpaka waangamie. Ni kazi zipi mkenya yuaweza akazifanya huko, hapa mimi nishafanya sales za mikopo, I'm a graduate. pia kuna vitaa flani mimi hutengeneza, sijui kama vipo huko, I'll attach a video mvione.

I'm seeking guidance into tz life, and lile jiji nzuri la kuanzia. sijawai ona watu walio wivu kiwango hiki, jamani jua wakenya ni watu useless. usishangae hawaendelei ikiwa vijana wanaangamizwa na kurudishwa nyuma hivi. a r gh
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala KENYA.

nipeni mawaidha ya huko. pia nataka nipate waganga mashuhuri wa huko, wanifanyie kisasi. This should not be allowed to happen, bila consequences.

Kiswahili cha Kitanzania hiki. Watanzania wacheni kujifanya kwamba nyinyi ni Wakenya. Kiswahili cha Kenya tunakijua. Hata Mtanzania akija Kenya na kufungua mdomo kuongea, baada ya sentensi moja huwa tunajua yeye ni Mtanzania.
 
Wakamba ni kabila linaongoza Africa kwa uchawi.

Huko mnakotafuna albino kwa uchawi na ushirikina yaani nani kwa akili zake awaamini kwa roho zenu ngumu, dunia yote hii hamna nchi nyingine ambapo albino huliwa kama kwenu.
 
Nishawai posti hapa kutafuta ushauri wa kuondoa uchawi

Hivi juzi baada ya mimi kudhani mambo yangu yanaenda shwari, nimefungua duka la branding, nikalipa miezi sita na kuleta machines kadhaa, sasa baada ya kutumia sarafu zangu zote nikaanza kazi ningojee matokeo, nirefeshe mtaji, washenzi wamenirudia, sasa wanataka kuniangusha jindi walivyojaribu awali, ingawa wakati huo sikuwa na chochote.

Nahisi kuudhika pakubwa, ila njama zote za kichawi zinatumika kujaribu kunilazimu nitoke huku, hata sasa kazi imepungua kwani hata jina linaharibiwa kimakusudi. Mie naona sasa dawa nikuje tz nianze upya, lakini wajinga hawa wapate adabu mpaka waangamie. Ni kazi zipi mkenya yuaweza akazifanya huko, hapa mimi nishafanya sales za mikopo, I'm a graduate. pia kuna vitaa flani mimi hutengeneza, sijui kama vipo huko, I'll attach a video mvione.

I'm seeking guidance into tz life, and lile jiji nzuri la kuanzia. sijawai ona watu walio wivu kiwango hiki, jamani jua wakenya ni watu useless. usishangae hawaendelei ikiwa vijana wanaangamizwa na kurudishwa nyuma hivi. a r gh
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala KENYA.

nipeni mawaidha ya huko. pia nataka nipate waganga mashuhuri wa huko, wanifanyie kisasi. This should not be allowed to happen, bila consequences.

Karibu kwenye nchi ya maziwa na asali, chakula, Amani, umoja, upendo ndio nembo ya nchi yetu.

Zingatio: Rushwa, ukabila, wizi na roho mbaya uviache huko huko.
 
Unaweza ukasoma sana ila usipojuwa "maisha ni mchezo" hutafika mbali, utaangushwa na mtu asiyejua hata kuandika.
 
Back
Top Bottom