Search results

  1. Nibiru X

    Jihadhari na jumbe hizi usiingie link hi UNICEF Foundation Africa

    Halo wanna intelligent, Lengo la kuja hapa ni kukupa taahadhari Kuna jumbe feki zinatembea mitandao ya kijaamii kua unicef Africa inagawa hela za bure kwa watu huo ni utapeli na UNICEF wamesema hawafanyi huduma hio watu wanaingiliwa acc Kisha inaandika umepokea mill 2700000 from UNICEF hao ni...
  2. Nibiru X

    Teknolojia ya kuzungumza na wafu mpango ulioshindikana

    Habari watu wangu wa nguvu, Tangu hapo awali technolgia imekuwa inakua kwa kasi kubwa sana kiasi cha kuwa na akili bandia kutumia roboti kufanya kazi na shughuli na kijeshi na intelligence project kufikia kote huko mwanadamu ameshindwa kutengeneza technology ya kuzungumza na wafu imekwama...
  3. Nibiru X

    Ujumbe fikirishi: Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi

    Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio ujembe wa kwanza kuusikia masikioni mwako ktk kisa cha maangamizi ya sodoma na gomora wakati lutu...
  4. Nibiru X

    Fahamu jinsi dunia itakavyohamishwa na Wataalamu miaka ijayo kutoka kwenye orbit yake kuokoa kumezwa na Jua

    Napenda kukutakia heri ya mwaka mpya wa Ishirini Ishirini, Leo napenda Leo tuzungunze juu wanasayansi wanavyofanya Ili kuuokoa ulimwengu na mwisho wake Kwanza napenda ujue wataalamu kama Albert Einstein's, Howking waliamini hakuna Mungu pia biblia ni hadithi za kale tu. Tukianzia mbali kidogo...
  5. Nibiru X

    Teknologia toeshi: Usafiri wa ghali kupata kutokea duniani vizazi vijavyo kufaidi

    Habari za Siku ndugu wana jamii naamini. Muu wazima wa afya Leo nimependa tuongelee.tecnologia.niliyo isikia imeanza kufanyiwa project kama inaweza kufanyika kama njia rasmi ya usafiri maarufu kama tecknologia toeshi " hii ni usafiri ambao mtu hutoeka na kutokea eneo analopaswa kwenda yaani...
  6. Nibiru X

    Mpenzi wangu mchafu kupindukia napitia wakati mgumu

    Wadau habari za muda huu Mimi nimepata mpenzi siku za karibuni lakini ninachopata taabu ni kuwa huyu Dada sio msafi hata kidogo hasa nguo za ndani. Ni mzuri lakini hili tatizo limekuwa kero kwangu. Anaweza kuoga akimaliza anarudia chupi ile ile hata siku nne, ukimuuliza anasema nisijali...
  7. Nibiru X

    Tanzania umefika wakati tuwe na salamu yetu ya kitaifa

    Salamu wanajukwaa. Natumaini mu wazima Leo kama mdau ningependa kwa heshima na taadhima kuomba wizara husika kutafakari hili swala la salama ya kitaifa hapa Tanzania Salam ya "shikamoo" sio salama mbadala kwa nchi yetu has a baada ya kupata Uhuru kwa wengi tunaitumia tu hatujui maana yake kwa...
  8. Nibiru X

    Uzi maalumu:Mpe Neno mbunge wa jimbo hapa huku tukielekea uchaguzi mkuu 2020

    Salamu wanajamii....! Huku tukielekea uchaguzi mkuu 2020 mpe neno mbunge wako jimboni na kutaja jina lake na jimbo kama 2020 atabaki salama au la.... Naanza na mimi mbunge wangu moshi v' usijaribu tena kuja. Maana hatapata chochote
  9. Nibiru X

    Ujumbe mkubwa sana Wanawake wote hapa duniani

    Habari wana MMU Siku zote hela ni chumvi katika chakula hivyo kumbe chakula kinaweza kuliwa bila chumvi lakini hakitakuwa na ladha yake lakini la maana kushiba Wewe mwanamke ikiwa mwanaume wako amekosa kukupa hela ya saloon shopping nk iwe mwanzo wa kutafuta kazi nasio. Mwanaume mwingine""
  10. Nibiru X

    Uongo wa miaka juu ya miaka 2000 ya kifo cha Kristo

    Hawa wanazuoni wametudanganya juu ya hii miaka ilioko. Leo hii hata huu mwaka tulionao sio mwaka 2019 itabidi wataalamu hata wa humu akina Jr mshana Rakism Kiranga na wengine wathibitishe hili. Kama Yesu alizaliwa mwaka 0 na kufa mwaka 34 iweje tuseme alikufa miaka 2019 iliopita Yesu alikufa...
  11. Nibiru X

    Fahamu asili ya adhabu ya Kusulubishwa Msalabani na mwisho wake

    Jinsi adhabu ya kusubishwa ilivyoondoshwa hapa duniani ilikuwa ni desturi ya Wayahudi hata Warumi kuhukumu watu kusulubishwa katika msalaba waliokutwa na makosa mbalimbali kama Kutaka kupindua dola Kumtukana kaisari Uhaini na uchochezi nk pia vilisababisha maelfu kusulubishwa Asili ya watu...
  12. Nibiru X

    Ni hatari sana kama hadi muda huu atakayepeperusha bendera ya Upinzani 2020 Uraisil hajulikani

    Amani kwenu wanajamii Ni hatari kubwa sana kama kama muda huu vyama vya upinzani hasa chama kikuu cha upinzani CDM kutokujulikana nani atakaye peperusha bendera ya Uraisi 2020 hii inaipanguvu serikali iliopo madarakani kujua hakuna anayeweza kututingisha jambo ambalo ni gumu kulielewa ni kua ni...
  13. Nibiru X

    Ukweli mkubwa: Rais mstaafu Dr. Jakaya Kikwete alikuwa na malengo makubwa kwa nchi yetu kuliko Rais Magufuli

    Ukweli usiopingika nikua Raisi aliepita Mh Dr Jakaya Kikwete alikuwa rais bora na mwenye malengo yenye tija kwa taifa zaidi ya rais alieshika hatamu Dr John Magufuli ambaye amekua mwiba kwa wananchi wake hii inatokana na Mh JMK aliekuja na kauli ya Nguvu mpya Kasi mpya Ari mpya+ Maisha bora kwa...
  14. Nibiru X

    Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

    Salama wana jamii, amani na iwe juu yenu. Nimependa leo nije na uzi huu juu ya sifongo. Na siki. Jambo ambalo halijazungumziwa sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth. Pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji, ambapo alipewa sifongo yenye siki. Utajiuliza ni kwanini alionja tu ile sifongo...
Back
Top Bottom