Nibiru X
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 426
- 437
Habari wana MMU
Siku zote hela ni chumvi katika chakula hivyo kumbe chakula kinaweza kuliwa bila chumvi lakini hakitakuwa na ladha yake lakini la maana kushiba
Wewe mwanamke ikiwa mwanaume wako amekosa kukupa hela ya saloon shopping nk iwe mwanzo wa kutafuta kazi nasio. Mwanaume mwingine""