urafiki wa China na Tanzania ulianzia miaka ya 1960s. TAZARA na miradi mingine ya misaada kutoka kwa China ni ishara ya urafiki huohuo. Mwenyekiti wa Jamhuri ya Watu wa China Bw. Xi Jinping (baadhi ya watu wanamwita Rais wa China, lakini si sahihi kwa sababu mataifa ya kikomunisti yana wenyekiti...
unachosema si ukweli kabisa. sisi sote wanafunzi wa Kiswahili kutoka nje ya Afrika tuna mapenzi ya dhati kwa watu na utamaduni wa Kiafrika. tunasoma lugha hiyo kwa kusudi la kuendeleza urafiki wa dhati baina ya taifa letu China na Tanzania.
Habari marafiki zangu wapendwa?
Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini nitajaribu kuzipika vizuri kama iwezekanavyo.
Shukrani
Kulinganishwa na chanzo cha popo, ningeamini zaidi chanzo cha Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa wito wa Marekani kufungua maabara yake ili tujue wazi corona vinatoka wapi. Kwani Marekani haithubutu kufungua maabara?
Habari hiyo ni ya huzuni kabisa, hata kifo cha Mhe. Magufuli kinatuhuzunisha sana wanafunzi Wachina wanaojifunza Kiswahili. Sina la kusema ila pole🙏 Mungu ibariki Tanzania.
Asante sana bwana, unachoelezea ni ya kweli kabisa.
Kwa mujibu wa baadhi ya wanachuoni Wachina, japokuwa Kiswahili ni lugha ya mchanganyiko, lakini lugha hiyo ni mojawapo ya lugha za Kibantu maana sarufi yake inafanana na lugha zingine za Kibantu(aina tofauti za nomino, subjective prefix, tense...
Kiswahili ni lugha ya kibantu lakini mnamo muda mrefu uliopita kabla ya wazungu kuja, Kiswahili kiliandikwa kwenye herufi ya kiarabu. leo tunatumia a,b,ch,d, lakini kabla ya miaka 100 watu walitumia ا ب ت ث ح خ kama ishara ya matamshi ya Kiswahili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.