#COVID19 China yasema mlipuko ya COVID-19 kugeuzwa kuwa siasa kutadhoofisha jitihada za kupambana nao

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
China imesema kufanya uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa suala la kisiasa kutadhoofisha jitihada za kupambana na mlipuko huo

Ubalozi wa Taifa hilo Nchini Marekani umetoa kauli hiyo baada ya Rais Joe Biden kuagiza Ripoti ya jinsi Virusi vilivyoibuka kwa mara ya kwanza ipitiwe

Mara kadhaa China imekataa kuwa COVID19 ilianzia Maabara huku ikiishutumu Marekani na Mataifa mengine kwa kujaribu kuwalaumu ili kuficha lawama za kushindwa kudhibiti janga hilo katika Nchi zao

=====

Politicising the origins of COVID-19 would hamper further investigations and undermine global efforts to curb the pandemic, the Chinese embassy in the United States said after President Joe Biden ordered a review of US intelligence about how and where the virus first emerged.

“Some political forces have been fixated on political manipulation and (the) blame game,” the embassy in Washington, DC said in a statement on its website on Wednesday evening.

The World Health Organization (WHO) is preparing to begin a second phase of studies into the origins of COVID-19, and China has been under pressure to give investigators more access amid allegations that SARS-CoV-2 leaked from a research laboratory in the city of Wuhan, where the first COVID-19 cases emerged in late 2019.

China has repeatedly denied the lab was responsible, accusing the US and other countries of trying to distract from their own failures to contain the virus.

Biden said on Wednesday that US intelligence agencies were divided about whether COVID-19 “emerged from human contact with an infected animal or from a laboratory accident”.

Earlier this week, it was revealed that US agencies were examining reports that three researchers at the Wuhan lab became so ill in November 2019 that they sought hospital care.

“We are starting to see a lot of converging streams of evidence that there hasn’t been transparency from the Chinese government,’ Dr Amesh Adalja, an expert in biosecurity and emerging infectious diseases told Al Jazeera. “We are hearing about people who worked at the Wuhan Institute of Virology becoming sick with an illness, we know that this has been spreading since November (2019) and we have seen the Chinese government be very reticent to allow the press to investigate the origins of this virus so I think that raises questions about getting the Chinese goverment to come to terms with what may have happened in the early days of the pandemic.”

Yanzhong Huang, a senior fellow for global health with the Council on Foreign Relations in Washington, DC, said China’s lack of openness was a key factor behind the resurgence of the lab leak theory.

“There’s nothing really new there to prove the hypothesis,” he said. “In the investigation of the origins of the pandemic it is really important to have transparency in order to build trust in the investigation results.”

Source: Al Jazeera
 
I recently discovered that I hate China very much. And, my hate for the bastards is undying and ever-growing, I can assure you, it will stand the taste of time :mad::mad::mad:
 
Hawa mbuzi Wana bahati, Kama Trump angeshinda uchaguzi,wangekoma, jamaa alikuwa ame apa kuwawajibisha kweli
 
Ukweli wa huu ugonjwa (The source) ni muhimu dinia kuujua. Na kama ikibainika ni China wameutengeneza basi Dunia yote iungane kuiadhibu china na Mali zake including fedha na madeni yake ya nje yataifishwe, yani kama kuna nchi Yoyote inayodaiwa na China basi hakuna kulipa au kama kuna Mradi wowote wa China upo kwako basi hiyo ni Mali yako.

Hii Corona imeiumiza sana Dunia hivyo ni lazima aliyeleta hili tatizo aadhibiwe
 
Ni jambo la usiri sana...huenda China hausiki kbs...ila alitupiwa zigo la uchafu ili aonekani ananuka..na anafaa kutengwa na Jamii

Bado tuna safari ndefu katika kuyafahamu yaliyochini ya kapeti
 
Atupiwe na nani? Na kwanini unadhani China hana uwezo wa kuhuska?.

Hii dhana ya kudhanj kila baya linatoka west tu, ni tatizo katika hatua za kuufikia ukweli.
 
Hatuwezi kutoa tuhuma moja kwa moja kwa Yeyote..mpaka pale uhakika na ukweli utakapobainika......Je!katika Ulimwengu huu tulio nao,ni lini ukweli utakuwa ukweli?
 
Uwezi toa tuhuma! ila uko juu umejaribu kutoa tuhuma kuwa China anataka kuangushiwa jumba bovu, sijui ulikusudia nini kuandika hivyo wakat hapa unasema uwezi toa TUHUMA ?.

Nb:, ninachokusudia kusema ni kwamba:, si kila baya linatoka west..
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Nakuunga mkono Chief,si kila baya lina toka West...!!!

Kadhalika
Si kila baya linatoka kwa yule umchukiae
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom