Search results

  1. thee kid

    Zanzibar kuna fursa gani za manual labour?

    Vipi mkuu fursa Bado ipo ninaweza kuja? Mimi ninaishi maeneo ya vingunguti.
  2. thee kid

    Ombi la Kazi

    Shukrani
  3. thee kid

    Ombi la Kazi

    Heshima zenu wakuu! Kama kichwa Cha Uzi kinavyojieleza. Mimi ni Kijana wa miaka 23 Nina shahada ya kwanza (Bachelors degree) ya usimamizi ya Manunuzi na Ugavi niliyohitimu mwaka 2022.Tokea nimehitimu sijabahatika Bado kupata kazi,hivyo basi ninaandika Uzi huu kuomba kama Kuna mtu yeyote humu...
  4. thee kid

    Msaada kuhusu Application Ajira portal

    Habari ndugu zangu, Samahani kwa kuwasumbua naombeni msaada wa kuhusu application za ajira katika mfumo wa ajira portal nilikuwa nauliza kama kuna tangazo la kazi linahitaji applicants wawe na diploma. Je, mtu mwenye degree akijaribu kuapply nafasi hiyo hiyo inayohitaji diploma holders itakubali?
  5. thee kid

    Kumbe simba sc ushamba walianza kitambo

    sasa point yako iko wapi hapo ndugu?
  6. thee kid

    Nisome kozi Gani kati ya hizi nitakazozi orodhesha hapa chini?

    Habarini wakuu, poleni na majukumu mbalimbali yanayowakabili. Samahanini nimeandika Uzi huu kuomba ushauri nahitaji kwenda kuongeza elimu ya vitendo kidogo katika vyuo vya VETA infact kwa sasa hivi Mimi ni mhitimu wa shahada ya Manunuzi na ugavi kutoka chuo fulani hapa nchini. Nilkuwa...
  7. thee kid

    Ushauri sehemu ya kufanyia field ya Procurement and Supply Management

    Habarini Wakuu, poleni na majukumu Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nasoma degree ya Procurement and Supply Management. Nilikuwa naomba mnishauri kampuni au taasisi nzuri za kufanyia field kulingana na programme yangu ya procurement hususani katika mkoa wa Songwe...
  8. thee kid

    Uwezekano wa kubadili kozi Chuoni

    Ndio inawezekana as long as utakuwa umekidhi vigezo vya programme unayotaka kuhamia pia kama hiyo programme ina nafasi bado
  9. thee kid

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Habarini wakuu...wale watalaamu wa history 2 naombeni msaada kwa swali hili "show how arm race and militarism were typical examples of manifestations of imperialism in europe during 19 century" Sent using Jamii Forums mobile app
  10. thee kid

    Top 200 best Universities in Africa

    Nairobi is the the best university bro compare to our UDSM Sent using Jamii Forums mobile app
  11. thee kid

    Karibu Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa elimu bora

    Uko sahihi...mkuu...mpaka saivi product yoyote iliyopitia ushirika..n product boraa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. thee kid

    Karibu Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa elimu bora

    Hakika mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. thee kid

    Karibu Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa elimu bora

    Hakika mkuu...ukipenda bata....Mocu unarudi nyumbani Sent using Jamii Forums mobile app
  14. thee kid

    Karibu Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa elimu bora

    Wote wapo mkuu.... Anakwambia "if you don't like mathematics then you are going to die"[emoji38][emoji38][emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. thee kid

    Karibu Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa elimu bora

    Nadhani kutokana na uhaba wa majengo ya chuo...sasa hivi kule kunaitwa wazalendo complex ni madarasa kwa ajili ya chuo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom