Search results

  1. Military Genius

    Thomas Paine; Mwanaharakati, Mwanasiasa na Mwanafalsafa mpinga dini

    Pichani ni Thomas Paine, huyu Alikuwa ni Mwanaharakati, Mwanasiasa na Mwanafalsafa kutoka Uingereza aliyeishi US, ni mmoja wa Wanasiasa wanaokumbukwa sana US kwa Mchango wake katika Mapinduzi ya Amerika mwaka 1775 ambapo Alikuwa anatoa hotuba na kuandika maandiko yayolikuwa na ushawishi mkubwa...
  2. Military Genius

    Bhangarh: Kijiji cha ajabu nchini India

    Kinaitwa kijiji cha Bhangarh kinachopatikana nje ya mji wa Rajgarh, Alwar nchinj India, kijiji hiki kipo tangu mwaka 1573 lakini hadi sasa kinatajwa kuwa ni moja ya maeneo hatari zaidi kuyatembelea nchini humo. Hadi mwaka 2001 kulikua na idadi ya wakazi 1,200 lakini baadaye walihama wote...
  3. Military Genius

    Mfahamu Sister Josephine Rosenthal

    Huyu alikuwa ni sister wa kanisa Katoliki, anaelezwa kuwa wakati wa uhudumu wake alihofiwa kuwa alikuwa anamilikiwa na nguvu za giza. Jina lake kamili anaitwa Sister Josephine Rosenthal. Mwaka 1742 sister Rose alipata ujauzito kimaajabu kwani hakuwa amewahi kushiriki tendo la ndoa na mwanaume...
  4. Military Genius

    The Toxic Lady mwanamke hatari

    Gloria alizaliwa January 11,1963 na kufariki february 19, 1994 mjini California US akiwa na umri wa miaka 31, alikuwa ni mama wa nyumbani na alipewa majina ya 'The Toxic Lady' au 'The Toxic Woman' kwa maana ya ni hatari kumgusa kutokana na tatizo alilokuwa nalo. Majina haya aliyopewa ni...
  5. Military Genius

    Mama alieuza watoto miaka ya 1948

    Kwa mara ya kwanza picha hii ilionekana Indiana US augost 5, 1948 ikionyesha kuna watoto wanne wamekaa mbele ya bango lenye maandishi '4 children for sale' yaani 'watoto wanne wanauzwa' na pembeni yake akiwa amesimama mama yao aliyeziba sura yake. Chini ya maneno hayo kuliandikwa maneno mengine...
  6. Military Genius

    Gari la kustaajabisha aina ya porsche 550

    Majanga yanaanzia Septemba 23, 1955, ambapo James Dean raia wa Los Angeles US alinunua gari yake ya michezo aina ya Porsche 550 kwa muuzaji George Barris na akaenda kuiboresha zaidi ionekane vile alivyokuwa anapenda yeye iwe. James aliweka siti mpya nzuri mpya za tartan, akaandika namba 130...
  7. Military Genius

    Alama ya mkono iliyoachwa katika jengo lililokua linaungua moto

    Kwa miaka mingi sana idara ya zimamoto mjini Chicago US inafuatilia alama ya mkono isiyofutika iliyobaki ukutani katika ukumbi mmoja ulioungua moto, licha ya alama hii kufutwa sana ukutani hapo lakini haijawahi kufutika. Wengi wanasema labda ni alama ya kimzimu. Wengine waliamini kuwa labda ni...
  8. Military Genius

    Mjue kijana Annora Petrova

    Anaitwa Annora Petrova, alizaliwa Mei 5, 1991 mjini Portland, Oregon US, alikuwa ni mchezaji maarufu wa mchezo wa 'skating' kutoka US tangu akiwa bado binti mdogo tuu. Mchezo huu unaochezwa zaidi katika mataifa yenye barafu Annora alianza kujifunza tangu mwaka 2004 akiwa na umri wa miaka 13...
  9. Military Genius

    Mchoro maarufu uliosumbua vichwa vya watu

    Miaka ya 1990 mchoraji maarufu mwanamama Laura P raia wa US aliichukua picha orijino iliyopigwa na mpiga picha James Kidd katika mashindano ya kukimbiza farasi huko Tombstones, Arizona US na kisha akaichora ya kwake kama hiyo. James alisema picha hiyo orijino aliyoipiga ilionekana kuwa na kitu...
  10. Military Genius

    Paka Oscar aliyekuwa maarufu katika vita ya pili ya dunia

    Kwa mara ya kwanza paka huyu aliyekuwa na rangi nyeusi na nyeupe alikuwa anamilikiwa na mwanajeshi wa Ujerumani Bismarck, na alikuwepo katika safari ya meli ya Ujerumani ya mei 18, 1941 wakati meli hiyo iliposafiri majini kwa siku nyingi kwenda Rheinübung kwa oparesheni maalumu ya kivita. Kwa...
  11. Military Genius

    Mgonjwa wa ajabu ambaye hakuwa binadamu

    Ilikuwa mwezi Juni 1972 ambapo mwanamke mmoja alionekana katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center huko Los Angeles, California US. Hakuwa na chochote zaidi ya gauni lake jeupe alilovaa lililokuwa limetapakaa damu, hii haikuwa ajabu, kwasababu ni tukio la kawaida tuu kutokea katika...
  12. Military Genius

    Kifahamu kisa cha Giuseppe Veraldi

    February 1936 mwili wa mwanaume Giuseppe Veraldi maarufu kama Pepe ulipatikana chini ya daraja huko Catanzaro Italia, ilionekana kuwa aliruka kutoka kwenye daraja na kichwa chake kujibamiza kwenye chuma na kufa. Uchunguzi wa Polisi ulibaini kuwa Pepe alikuwa amejiua mwenyewe lakini familia yake...
  13. Military Genius

    Peggy: Mdoli mwenye nguvu za giza ambaye ameripotiwa kusababishia watu matatizo waangaliapo video yake

    MDOLI PEGGY (Peggy Doll). Kwa Mujibu wa Wataalamu wa Kuchunguza Mambo ya Kutisha Kutoka UK, Wanasema kuwa Zaidi ya Watu 80 Wameripoti Kuumwa Hasa Maumivu Makali ya Kifua na Kukosa Pumzi au Kupata Matatizo Mengine Baada tuu ya Kuitazama Video ya Mdoli huyu Kama Kichwa Kuuma N.K. Taarifa Kuhusu...
  14. Military Genius

    Ajali mbaya ya treni

    Ilikuwa ni ijumaa ya September 12, 2008 jioni ya saa kumi UTC ambapo ilitokea ajali mbaya ya treni ya Metrolink 111 mjini Chartworth, California US iliyosababisha vifo vya watu 25 na majeruhi zaidi ya 135. Mmoja kati ya watu waliofariki katika ajali hiyo alikuwa ni Charles Peck mwanaume wa umri...
  15. Military Genius

    Dybbuk Box; Boksi la maajabu lililoleta mauzauza kwa kila aliyejaribu kulimiliki na kuishia kuliuza

    Umaarufu wa box hili ulianzia katika mtandao wa kuuzia na kununua bidha wa eBay ambapo Kelvin Mannis aliliweka kwa ajili ya kuliuza mtandaoni humo September 2001, yeye alilinunua kwa mwanamke mmoja wa miaka 103 aliyefariki huko Poland, hivyo mjukuu wa marehemu akamsihi Kelvin anunue. Mjukuu...
  16. Military Genius

    Filamu ya cannibal halocaust ya 1980

    Hii bado ni filamu ya kiitaliano ya kutisha bora sana duniani hadi sasa, inaitwa Cannibal Hallocaust iliyotoka rasmi February 7, 1980 Millan Italia chini ya muongozaji Ruggero Deotato raia wa Italia. Uhalisia uliotumika katika matukio ya kutisha ndani ya filamu hii ulipelekea serikali ya Italia...
  17. Military Genius

    Mji wa Kowloon Walled

    Kama unaijua au umewahi kuisikia Sodoma na Gomola, dhambi na ufuska uliokuwa ukifanywa katika kipindi hicho basi ndivyo ilivyokuwa katika mji wa Kowloon Walled City uliopo Hong Kong China kati ya mwaka 1898 hadi 1994. Kowloon Walled City maana yake mji wa Kowloon uliopo ndani ya uzio, ukuta...
  18. Military Genius

    Golden Eagle car, gari inayodaiwa kuua watu wengi kimiujiza

    Polisi wa mji wa Old Orchard, Chicago US waliinunua gari hii mwanzoni mwa miaka ya 1980 kabla ya baadae kumuuzia mwanaume mmoja kwa matumizi binafsi baada ya kuona wameanza kutoielewa gari hio, askari watatu walikufa kimaajabu ajabu baada tuu ya kuliendesha kwa siku kadhaa. Inaelezwa kuwa jumla...
  19. Military Genius

    The Grand Grimoire

    Pichani ni Kitabu Kinachoitwa Grand Grimoire, Joka Jekundu au Injili ya Shetani. Kina Maombi ya Kumuita Shetani, Kumiliki Majini au Mali. Kanisa Katoliki Limewahi Kusema Kitabu Hiki Kipo Chini Yao na Halitaki Kiwafikie Watu. Kipo Tangu Karne ya 16. Historia imeandika kuwa kitabu hiki kinaitwa...
  20. Military Genius

    Ulimwengu wa Game of Thrones

    Utangulizi: Pengine umejaribu kuangalia series ya Game of Thrones lakini umeshindwa kuielewa kwa sababu mbalimbali. Hapa nakupa utangulizi wa baadhi ya mambo yaliyotokea katika dunia hii ya Ice And Fire. Mengi yaliyo andikwa hapa kwenye utangulizi hayaonekani kwenye Series, ni historia tu...
Back
Top Bottom