Search results

  1. Idiot Embicile

    Nimeamini Laana zipo, heshimuni wazazi na wanaukoo mlikotoka

    Kuna familia ya mjomba wangu imeishia pabaya sana. Najitahidi kuamini vinginevyo lakini akili yangu inaniambia ni laana. Mjomba wangu alikuwa ni msomi wa Ph.D na alikuwa na pesa kama uchafu. Majumba, magari na miradi mingine kibao. Alikuwa na mke na watoto watano wa kike wawili na wa kiume...
  2. Idiot Embicile

    Google umeniangusha sana

    Google umenisaidia sana kunipatia elimu juu ya mambo mengi, ila kwa leo sina budi kukushusha vyeo. Leo nilitaka kuanzisha ugomvi, In fact kuna mtu amenizingua kwa muda mrefu. Hivyo nilikuwa natamani ajichanganye siku moja nianzishe ugomvi mkubwa, ambao hata rais asingeweza kuutuliza. Kama...
  3. Idiot Embicile

    Je, ni kweli kuna baadhi ya simu zimekuwa deactivated?

    Wadau wa Jamiiforums nilikuwa na simu ya Tekno W3 toleo la 2016, siku chache zilizopita Apps zote nilizozidownload play store hazifanyi kazi mfano whatsapp, opera mini na Jamiiforums. Nilimuuliza kuna jamaa yangu anayajua jua haya mambo ya simu, akanambia kuna baadhi ya version za simu zimeanza...
  4. Idiot Embicile

    Karibuni Ukerewe

    Ole wako uchukue zigo la kuvunja chaga, usitoe mahari... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Idiot Embicile

    Hivi kuchangia sigara kunaeneza UKIMWi?

    Oii oii Hivi ukichangia chiga au msokoto wowote na demu mwenye UKIMWI kuna maambukizi? Comment fupifupi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Idiot Embicile

    Mysterious photo

    Hizi picha mpaka leo zinawaacha watu na maswali. Hii picha ni ya wanajeshi, iliyochukuliwa kipindi cha Vita ya kwanza ya dunia. Huyo jamaa wa nyuma kabisa aliyezungushiwa kaduara. Ameonyeshwa kwa mbele, nyuma yake kuna sura ya mtu. Huyo mtu ambaye sura yake imetokea alikufa siku mbili kabla...
  7. Idiot Embicile

    Weathering, erosion or petrification maumbo ya ajabu

    Maumbo ya hizi features yanashangaza kidogo. Jinsi yalivyojiumba na kutengeneza viumbe tunavyovijua. Wazee wa conspiracy, wanadai hiyo ni petrification. Hivyo zamani duniani kuliwahi kuwa na giants.Hivyo hata mjusi wa zamani alikuwa mkubwa sana kuliko wa leo.Na hizi features ni masalia yake...
  8. Idiot Embicile

    Karibuni Chakula

    Nyama tamu kabisa hii...
  9. Idiot Embicile

    Member wanaoongoza kutoa Like JF.

    JF kuna kila aina ya maraia wanao toa michango ya nguvu,wababaishaji na wachekeshaji.Hivyo members hutoa like kwa aliyewagusa Kwenye wanaocoment. Hivyo hili bandiko ni kutoa heshima kwa members hawa kwa sababu wanaongoza kutoa likes. 1. @Mwifa 2. GODZILLA Hawa madingidee ni kisanga kwa...
  10. Idiot Embicile

    Streo type: Je wajua Tanzania kuna wavuta bangi wengi kuliko Jamaica.

    Kwa ambao hatujawahi kufika Jamaica, mtu akiongea kuhusu Jamaica cha kwanza kufikiria kichwani ni bangi.Toka tukiwa wadogo tulishakaririshwa Jamaica ndio sehemu bangi inavutwa kupita maelezo. Tafiti zinaonyesha Tanzania ina watu wanaotumia bangi milioni 3.6, wakati Jamaica watumiaji ni...
  11. Idiot Embicile

    Kuna uhusiano gani kati ya kulewa na kuchana karatasi

    Huwa naona watu wakilewa wanaanza kuchana zile logo. Kuna uhusiano gani? Walevi hebu nijibuni.
  12. Idiot Embicile

    Kiingereza Cha Wabongo.

    Kiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano. "STRUGG" instead of "STRUGGLE" "YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"
  13. Idiot Embicile

    Nahitaji ushauri: Kila Mwanamke ninayempata huwa naona sio standard yangu

    Sijui nina shida gani ila nahisi nina matatizo ya kisaikolojia.Nina tabia ambayo naiona siyo ya kawaida nikijilinganisha na vijana wa rika langu.Huwa siwezi kuwa kwenye mahusiano na Mwanamke ambaye sio starndard yangu. At my 20's sijawahi kuwa na mahusiano yaliyo serious au commitment...
  14. Idiot Embicile

    Tusaidiane kutafsiri kauli hii ya papa Francis

    Mara nyingi huwa naona tatizo la tafsiri kauli ikitoka lugha nyingine mfano kiingereza kuja kwenye kiswahili.Habari ikitafsiriwa huwa haikai sawa huwa inaleta ukakasi fulani.Sijajua tatizo ni kiswahili au watafsiri. Anyway let's get straight to the point Nimekutana na hii huko Instagram page...
  15. Idiot Embicile

    Kuna watu tuna bahati mbaya duniani nahisi nimeambukizwa HIV

    Rejea maada tajwa Hapo juu.Mimi ni kijana umri wa miaka kadhaa nipo tu mtaani mkoa mmoja hapa Tanzania.Siku ya Jumamosi iliyopita nilichukua dada poa mmoja nikamlipa then nikapiga bao moja na kwa kondomu nikaachana nae.Nilijikagua sana kesho yake asubuhi sikuona mchubuko wowote. Lakini baada ya...
  16. Idiot Embicile

    Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

    Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa waumini wa dini ya Kikristo. Katika bandiko hilo Nikki wa pili amesema (nina paraphrase ) "Story ya...
Back
Top Bottom