Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,981
Hizi picha mpaka leo zinawaacha watu na maswali.
Hii picha ni ya wanajeshi, iliyochukuliwa kipindi cha Vita ya kwanza ya dunia. Huyo jamaa wa nyuma kabisa aliyezungushiwa kaduara. Ameonyeshwa kwa mbele, nyuma yake kuna sura ya mtu. Huyo mtu ambaye sura yake imetokea alikufa siku mbili kabla picha hii haijapigwa