Kiingereza Cha Wabongo.

Kiingereza Cha Wabongo.

Idiot Embicile

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2019
Posts
1,037
Reaction score
1,981
Kiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.

"STRUGG" instead of "STRUGGLE"

"YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"
IMG_20190828_202641.jpeg
 
hili bango wamepewa ofisi ya pale Ilala Bomani.
Duh! Hao waofisi inabidi wakaguliwe vyeti[emoji23][emoji23]

Kuna mapopoma yatasema kuelimika sio kujua kiingereza.Ila inasikitisha mtu aliyetumia kiingereza kusoma Kuanzia form one mpaka chuo kikuu kushindwa kutofautisha hata "fill" na "feel" kwenye maandishi.
 
Vyovyote iwavyo, Walioandamana wameonyeesha hisia za Uzalendo na Uchungu tulionao kwa Unafiki wa Serikali ya Ramaphosa.
Msijifanye mnajua sana Kiingereza humu jamvini kumbe you just use 'Is and was English' ***** zenu mxiuuuuuu.
Hao hao Wasauz maneno mawili ya Kiswahili hawayajui Mitambo wanaitwa Mitombo, Afrika ya Kusini Wanaita AFRIKA YA KUZINI.
Tulieni Dawa iwangie timu Kivuruge yule aliyekuwa anawapa bando za Matusi humu Bw.Kaflag yuko Segerea.
 
Punguani wewe
 
Back
Top Bottom