Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,968
Kwa ambao hatujawahi kufika Jamaica, mtu akiongea kuhusu Jamaica cha kwanza kufikiria kichwani ni bangi.Toka tukiwa wadogo tulishakaririshwa Jamaica ndio sehemu bangi inavutwa kupita maelezo.
Tafiti zinaonyesha Tanzania ina watu wanaotumia bangi milioni 3.6, wakati Jamaica watumiaji ni takribani laki 2 kama asilimia 7 ya total population.Jamaica haipo hata katika nchi 20 zinazoongoza kwa matumizi ya Ganja duniani.
Tokea 1913 Bangi ilikuwa ni marufuku nchini Jamaica mpaka mwaka 2015 ambapo baadhi ya mambo yanayohusiana na bangi yaliruhusiwa.Baadhi ya vipengele vya sheria hio vipo kama hivi
1.Hairuhusiwi kukutwa na bangi zaidi ya gramu 56
2.Watu wa imani ya Rastafari wanaruhusiwa kutumia katika ibada zao
3.Unaruhusiwa kulima ila sio zaidi ya miche mitano.
Kuamini Jamaica kuna wavutaji wengi kiasi hicho, it is just because of streo type but it's not a fact.
Kwa msaada wa Google AKA Guluguli