Weathering, erosion or petrification maumbo ya ajabu

Idiot Embicile

JF-Expert Member
Apr 30, 2019
1,037
1,968
Maumbo ya hizi features yanashangaza kidogo. Jinsi yalivyojiumba na kutengeneza viumbe tunavyovijua.

Wazee wa conspiracy, wanadai hiyo ni petrification. Hivyo zamani duniani kuliwahi kuwa na giants.Hivyo hata mjusi wa zamani alikuwa mkubwa sana kuliko wa leo.Na hizi features ni masalia yake baada ya petrification.
ec25f1d74e6f1eb3be0b5058ee704814--the-kiss-how-to-kiss.jpeg
5d4c3f1773e34ec87909b5593b34b24c--ukraine-mother-nature.jpeg
2018-05-07_23-24-25.jpeg
2018-05-07_21-42-09.jpeg
2018-05-07_21-44-58.jpeg
2018-05-07_22-22-49.jpeg
 
Back
Top Bottom