Je, ni kweli kuna baadhi ya simu zimekuwa deactivated?

Idiot Embicile

JF-Expert Member
Apr 30, 2019
1,037
1,968
Wadau wa Jamiiforums nilikuwa na simu ya Tekno W3 toleo la 2016, siku chache zilizopita Apps zote nilizozidownload play store hazifanyi kazi mfano whatsapp, opera mini na Jamiiforums.

Nilimuuliza kuna jamaa yangu anayajua jua haya mambo ya simu, akanambia kuna baadhi ya version za simu zimeanza kuwa deactivated.

Je, hili lina ukweli? Au nijaribu kuireset
 
Inawezekana kabisa ulikuwa huzifanyii updates
Wadau wa Jamiiforums nilikuwa na simu ya Tekno W3 toleo la 2016, siku chache zilizopita Apps zote nilizozidownload play store hazifanyi kazi mfano whatsapp, opera mini na Jamiiforums.

Nilimuuliza kuna jamaa yangu anayajua jua haya mambo ya simu, akanambia kuna baadhi ya version za simu zimeanza kuwa deactivated.

Je hili lina ukweli? Au nijaribu kuireset

Jr
 
huyo jamaa yako bila shaka atakuwa mtu wa chattle,hakuna kitu kama hicho simu za Tecno W3 zinafanyakazi na hakuna iliyokuwa deactivated.

Hebu kamuulize tena nani amediactivate na kwanini? ulete majibu
Wadau wa Jamiiforums nilikuwa na simu ya Tekno W3 toleo la 2016, siku chache zilizopita Apps zote nilizozidownload play store hazifanyi kazi mfano whatsapp, opera mini na Jamiiforums.

Nilimuuliza kuna jamaa yangu anayajua jua haya mambo ya simu, akanambia kuna baadhi ya version za simu zimeanza kuwa deactivated.

Je hili lina ukweli? Au nijaribu kuireset
 
Inaleta ujumbe gani kwani ukizifungua hizo apps...?

Na je ni apps au simu kama simu it means haiwezi kupiga, kupokea simu na msgz...?
 
Siku 20 ziliongezwa. Kama wapo waliofungiwa....yawezekana lkn mimi nipo hewani

SAJILI KAMPUNI; LTD, JINA LA KAMPUNI, PARTNERSHIP, HESABU ZA KAMPUNI, PROFORMA INVOICES ETC 0652411402 -0684205039
 
Inaleta ujumbe gani kwani ukizifungua hizo apps...?

Na je ni apps au simu kama simu it means haiwezi kupiga, kupokea simu na msgz...?
Hazileti ujumbe wowote ila hazifanyi kazi tu. Mfano whatsapp ukituma ujumbe hauendi na status hauoni.

Mambo mengine ya kawaida kama kupiga simu inafanya kazi kama kawaida.
 
Back
Top Bottom