Search results

  1. Drydon

    Ni kiasi gani hutolewa na CAF kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi shirikisho?

    Ningependa kufahamu je!? ni kiasi gani hupatiwa kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi upande wa shirikisho Africa. Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  2. Drydon

    Faini za TARURA unapoegesha gari vibaya ni kiasi gani?

    Wanajamvi nilikuwa naomba mwenye ufahamu faini za TARURA ni kiasi gani pindi unapokamatwa kwa kosa la wrong parking.
  3. Drydon

    Nimetakiwa kuwa na kibali cha ujenzi

    Nimejichanga miaka kadhaa hatimae nikapata kakiwanja kangu huko ndanindani Zingiziwa Nikajichanga tena wazo ni angalau niwe na kakibanda hata kamgongo wa ng'ombe nisahau adha za kodi. Juzi nimeenda na fundi wangu angalau tugawane rizk tumeanza kuchimba msingi leo tumeanza kuingiza tofauri...
  4. Drydon

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER, Bolt

    Mimi ni dereva mwenye uzoefu na kazi za online taxi 3yrs yaani uber na bolt Hivyo natafuta mmiliki wa gari ambae atanikabidhi gari lake kwa kufanya kazi hii kwa hesabu. Pia akipenda tuingie makubaliano ya mkataba itapendeza zaidi. Mawasiliano; 0789702863. Sent from my V2026 using JamiiForums...
  5. Drydon

    Nafasi za kazi kwa madereva

    Ndugu madereva jaribuni bahati zenu. Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  6. Drydon

    Mwenye Ramani ya kupata kazi ya usafirishaji wa magari IT Dereva nipo

    Nimekuwa nikifuatilia kazi hii ya usafirishaji wa magari maarufu km IT kwa muda sasa lakini sikupata kufanikiwa wazee wa clearing and Foward au mdau yoyote mwenye kufahamiana na Agents wanaohusika naomba msaada wake huu ni muda sasa wa kuomba msaada wenu uzoefu na boda ninao wa kutosha...
  7. Drydon

    Natafuta gari la mkataba mimi dereva wa Uber/ Bolt

    Natafuta mmiliki wa gari ambae ataruhusu gari lake lifanye kazi ya ubebaji wa abiria kwa njia ya mtandao uber, bolt nk iwe kwa mkataba au hesabu ya kawaida dereva nipo hapa na account zote zipo active. Mawasiliano: 0789702863.
  8. Drydon

    Njoo tufanye Biashara ya Uber &Bolt

    Dereva nipo Iwe mkataba au hesabu. Km huelewi chochote kuhusu hii biashara nitakusaidia kuilewa na ushauri utapatiwa. ANGALIZO. Usiwe Boss (Mmiliki)wa aina hii: 1.Kila asubuhi uje uchukuliwe bila malipo na hesabu yako ni ile ile hili haliwezekani. 2.Toa uhuru wa muda wa kufanya kazi...
  9. Drydon

    Hali si Shwari naomba kazi yoyote yakuniingizia kipato halali

    Wana jamvi habari! Nachelewa sana kuamini kupata kazi itakayoendana na taaluma yangu ya ualimu. Sasa mwanye connection ya kazi yoyote halali ya kuingiza kipato nipo hapa iwe sehemu yoyite ndani ya Tanzania.
  10. Drydon

    Msaada kwa mtoto wangu anakohoa, kuharisha na ana mafua makali

    Mtoto anaumwa anaharisha, mafua na pia ana kikohozi kikavu ila hachemki NB: Mtoto ana umri wa miezi mitatu, jinsia yake ni ME
  11. Drydon

    Viongozi wa Yanga acheni kujificha kwenye mgongo wa Simba kama sehemu ya kujitetea udhaifu wenu

    Utawasikia wapenzi na mashabiki wa yanga wakikalili kile walichoaminishwa kuwa kila mchezaji aliyesajiliwa na Simba basi walikuwa wao ndio wakwanza kuwa na nia na huyo mchezaji as if Simba inaitumia yanga Kama scouts yao. Hii yote inasababishwa na hali mbaya inayopitia club ya yanga hasa...
  12. Drydon

    Je, kujitolea kumekuwa mfumo rasmi wa ajira?

    Na. Fred Kibano - Arusha Serikali imesema inaendelea na maandalizi ya mifumo mipya ya ajira na uhamisho ambayo itaondoa changamoto ya uhaba wa watumishi walimu kwenye shule zake za msingi na sekondari hapa nchini. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Gerald Mweli...
  13. Drydon

    Natafuta gari ya kununua.

    Natafuta gari ya kununua aina ya IST namba D mil 6 aliyonayo aje DM Au anipigie +255789702863 ANGALIZO: Tangazo limekamilika usije na sound kama ni dalali utajua utafanyaje kwenye mchakato wako.
  14. Drydon

    Dereva wa Uber mwenye uzoefu, natafuta gari la kufanyia kazi

    Habari! Mimi ni dereva natafuta mmiliki wa gari ambae ataruhusu gari lake kwa kazi za uber. Nikiwa kama dereva tutakubaliana kiasi cha marejesho kwa siku/wiki. Nina uzoefu wa kazi hiyo Account ya uber na taxify ninazo kilichobaki ni gari. Mawasiliano: 0718286870 au 0789702863.
  15. Drydon

    Ajira kwa walimu

    Ndugu zangu naomba kuuliza hivi tangazo la ajira kwa walimu deadline yake ni lin hasa kati ya tarehe 13 au 15 march! maana napata mashaka mchakato wa kuingia OTEAS kwangu umekuwa mgumu siku ya leo tar 13 hata hatua za awali haifunguki. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom