Natafuta gari la mkataba mimi dereva wa Uber/ Bolt

Natafuta gari la mkataba mimi dereva wa Uber/ Bolt

Drydon

Senior Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
125
Reaction score
193
Natafuta mmiliki wa gari ambae ataruhusu gari lake lifanye kazi ya ubebaji wa abiria kwa njia ya mtandao uber, bolt nk iwe kwa mkataba au hesabu ya kawaida dereva nipo hapa na account zote zipo active.

Mawasiliano: 0789702863.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom