Nafasi za kazi kwa madereva

Nafasi za kazi kwa madereva

Drydon

Senior Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
125
Reaction score
193
Ndugu madereva jaribuni bahati zenu.
Screenshot_20211029_162624.jpg


Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
View attachment 1990976
 
Acha uteseke[emoji1787]

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app

Acha fujo basi aisee. Mi nishateseka sana ujue hata nikiendelea kuteseka naona kama it's just a life style ambayo nimeshaiishi kwa muda mrefu tu aisee.

Na nipo kwenye position ya kada ya udereva iliyopo chini ya World Bank ila huwa napenda sana kusaidia wengine. Kwa kukuuliza maswali hayo lengo ilikuwa ni kuwasaidia wengine ambao wanahitaji position kama hii na wanaliona tangazo ila kwa njia moja au nyingine wanaweza wasikuulize that's why I decided my self to wear their shoes and asking you on behalf mkuu.

Kwa hiyo mi siteseki kiongozi hata kama nitasema Niache Nteseke.
 
Back
Top Bottom