Drydon
Senior Member
- Mar 11, 2019
- 125
- 193
Dereva nipo
Iwe mkataba au hesabu.
Km huelewi chochote kuhusu hii biashara nitakusaidia kuilewa na ushauri utapatiwa.
ANGALIZO.
Usiwe Boss (Mmiliki)wa aina hii:
1.Kila asubuhi uje uchukuliwe bila malipo na hesabu yako ni ile ile hili haliwezekani.
2.Toa uhuru wa muda wa kufanya kazi.
3.Jitahidi uielewe hii biashara km utatoa gari lako kwa hesabu.
Simu no: 0789702863..