Search results

  1. R

    Hali imekuwa Tight. Jana NLIGOMA Kabisa Kutapika.Nina ombi kwa Serikali

    Hahahhaa mkuu mchuzi wa matunda pengine ndo umeleta kashkash
  2. R

    WAKUU MSAADA LAPTOP YANGU IMEINGIA MAJI, SCREEN INACHEZA CHEZA REMEDY NI NINI?

    Asante mkuu, ila kwa sasa sipo Moshi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    WAKUU MSAADA LAPTOP YANGU IMEINGIA MAJI, SCREEN INACHEZA CHEZA REMEDY NI NINI?

    Wataalam laptop yangu imeingia maji kwa bahati mbaya, sasa screen inacheza sana kama imetengeneza mawimbi hivi japokuwa ina function vizuri. Hapo suluhu ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Bariadi Mashariki agombea Urais wa TLS

    Wanamsumbua Dr Lugemeleza, wanajua ndo Raisi ajaye wa wanasheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

    Improve brother. Then go choose a course of your interest because non guarantees employement. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

    Hisia tu hizo mdogo wangu. Hujaandika ujumbe wowote ambao hauna makosa, hata huu nao quote hapa una makosa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

    Nimeshtushwa na makosa unayoyafanya kwenye uandishi ambayo nayategemea kwa watu ambao hawajasoma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

    Umesomaje HKL alafu unaandika ushauli!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    Wewe ni mtu maalum sana. Mungu akujaalie hitaji la moyo wako. You have my prayers dada Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    Tuliowahi ku disco chuo tukutane hapa tushee historia zetu

    Story nzuri msomi, ila una shida ya L na R Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    Tuliowahi ku disco chuo tukutane hapa tushee historia zetu

    Story nzuri msomi, ila una shida ya L na R Sent using Jamii Forums mobile app
  12. R

    Sakata la Joshua Nassari: Mtazamo wangu

    Nakubaliana na wewe kwamba namna Mhe. Nassari alivyoomba ruhusa ina walakini (kwa maelezo yake Nassari mwenyewe). Lakini kama akipeleka hili shauri mahakamani kama anavyosema uamuzi wa Mh spika uko bound kupinduliwa for one strong reason. There was procedural impropriety kwa kumnyima Nassari...
  13. R

    Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

    Asante kwa kunikumbusha, ngoja nikachangie. Wewe endelea na majukumu yako ya ku Praise na ku Worship Sent using Jamii Forums mobile app
  14. R

    CCM jiandaeni na mpambano mkali uchaguzi ujao, Lissu sio wa kufanya kampeni za kupiga push up

    Hatakimbia maswali, atakimbia mdahalo kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. R

    Matukio ya 2019 duniani

    Mkuu andiko zuri sana hili. Samahani na swali kidogo, huu mchoro aliuchora Da Vinci? na kama ndiye ali specify kwamba dunia itakuwa hivi 2019 au aliandika tu akiizungumzia dunia ya sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. R

    Bila shaka ni wakati muafaka wa Hussein Bashe kufukuzwa CCM

    Kweli kabisa, anaongeaje ukweli alafu bado anabakia chama hichi?!!! Huku ni ku Praise na ku Worship, basi. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. R

    Wanasingida mashariki kuandaa maandamano ya kuomba uchaguzi ili kumpata mwakilishi bungeni

    Mwalimu enzi za uhai wake aliwahi kuonya juu ya mtu kujitabanabaisha kama "sisi" au "wananchi". Haya uliyoyasema hapa ungekuwa unasema 'mimi' yangekuwa sahihi sana kwa sababu tuna haki ya kutoa maoni, ila kutumia watu kuwakilisha mawazo yasiyo na mpangilio ya ubongo wako ni upuuzi wa kuachwa...
  18. R

    Kwa hili la vitambulisho vya wajasiliamali, Rais anahitaji pongezi

    Mkuu na hivi umesema huna ajira, elfu saba sio mbaya kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. R

    Je, watanzania tunataka demokrasia au maendeleo?

    Vipi kuhusu kurudi kwenye chama kimoja ili hii dhana ya kutokutaka demokrasia iwe na maana? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom