MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,686
- 31,470
Wakili msomi, umeeleza vyema, hakuna siasa, porojo wala conspiracy theories, facts tupu.
Nakubaliana na wewe kwamba namna Mhe. Nassari alivyoomba ruhusa ina walakini (kwa maelezo yake Nassari mwenyewe). Lakini kama akipeleka hili shauri mahakamani kama anavyosema uamuzi wa Mh spika uko bound kupinduliwa for one strong reason. There was procedural impropriety kwa kumnyima Nassari right to be heard (Natural justice) This one needs not to be written anywhere.Ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari umesitishwa/umefutwa katika kile kinachotajwa kuwa hakuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila ruhusa ya Spika wa Bunge. Katika kutekeleza hilo, Ofisi ya Spika imeijenga hoja yake kwa kutumia Ibara ya 71(1)(c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara)ambayo nainakili hapa chini:
71.-(1) Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake katika Bunge litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo-
(a).……………………………….(haihusiki)
(b).……………………………….(haihusiki)
(c) ikiwa Mbunge atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika;
Ni dhahiri kuwa Ibara niliyoinakili hapo juu inazungumzia sababu mojawapo ya kukoma kwa Ubunge wa Mbunge yeyote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.ababu hiyo ni kukosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika. Kulingana na Ibara hiyo, kuna mambo muhimu.
Mosi, Mbunge husika anakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge mitatu mfululizo. Kulingana na sakata la Nassari, Nassari hakuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge mitatu mfululizo. Ni jukumu lake Nassari nje au ndani ya Mahakama kuthibitisha kuwa alihudhuria vikao vya mikutano hiyo ya Bunge ambayo anadaiwa kuwa hakuihudhuria. Katika hilo, hakutakiwi porojo wala siasa, ushahidi unatosha.
Pili, Ibara tajwa inazungumzia ruhusa ya Spika. Ruhusa ni kibali cha kufanya au kutofanya au kusema au kutosema jambo. Katika uga wa kiutumishi, ruhusa huombwa kwa fomu au barua maalum. Mwombaji wa ruhusa huhakikisha kuwa fomu au barua yake imemfikia ipasavyo mtoa ruhusa na hatimaye amepata ruhusa hiyo kupitia fomu hiyo au barua ya mtoa-ruhusa. Hapo ndipo ruhusa ya kufanya au kutofanya au kusema au kutosema huanza.
Tatu, kwa mujibu wa Ibara niliyoinakili hapo juu na sakata zima la Joshua Nassari, mtoa-ruhusa ni Spika wa Bunge. Ni ruhusa ya kutohudhuria vikao vya mikutano ya Bunge ima chini ya mitatu au mitatu. Joshua Nassari, kwa mujibu wa jambo lake, alipaswa kuomba na kupata ruhusa ya Spika wa Bunge ili kutohudhuria vikao vya Mikutano mitatu mfululizo ya Bunge. Kama aliipata ruhusa hiyo, ni wakati wake nje au ndani ya mahakama kuianika ruhusa hiyo. Kulialia na kuomba huruma kutafuata baadaye.
Kwa uelewa wangu, neno 'mfululizo' limetumika kuonyesha ukubwa wa jambo hilo la kukosa kuhudhuria vikao vya mikutano ya Bunge kwakuwa Miukutano ya Bunge hufanyika kila baada ya miezi kadhaa. Kimsingi, mikutano mitatu mfululizo hubeba kipindi kirefu cha kutosha na ndiyo maana Mbunge anapokosa bila ruhusa ya Spika anapaswa kukoma kuwa Mbunge. Joshua Nassari, pamoja na kuiweka mbele hoja ya kumuuguza mkewe, anapaswa kuuambia umma, wapigakura wake na hata Mahakama (kama atakwenda) kuhusu ruhusa yake kutoka kwa Spika.
Kwakuwa suala la Joshua Nassari ni suala nyeti na linaloweza kujengewa nadharia mbalimbali sahihi na potofu, ni wajibu wake kuweka mambo sawa kwa kuanika ruhusa yake kutoka kwa Spika au ushahidi wake kuwa si kweli kuwa hakuhudhuria vikao vya mikutano mitatu mfululizo ya Bunge.Amasivyo, Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu za Bunge zitampiga kumbo kirahisi sana.
Hivi bado mnasikiliza Nassari na Ngonjela zake?kama itathibitika kweli kuwa Nassari hakufuata taratibu kwenye sakata hili, atakuwa amedhihirisha the highest level of irresponsibility na sidhani kama hata anastahili tena kuvaa hadhi ya uwakilishi wa wananchi mahala popote, labda akienda CCM ambao wao ni zoazoa tu bora liende!
From school to Member of Parliament......lazima atajisahau. Karibu mtaani Mr NassariWapinzani wamekuwa wakilalamika na kuona wanaonewa katika kila jambo linalotokea kwao. Inawezekana ni kweli mke wake alikuwa na changamoto, je ni mwanamke huyo tu mwenye changamoto za uzazi? Hivi kama kila mwanaume ataamua kukaa nyumbani kulea mimba ya mke wake kwa miezi tisa kazi zitafanyika kweli? Wakati mwingine tuwe serious bhana, Joshua hapa amechemka.
Japo naona baadhi ya viongozi wake wamejaribu kukubeba na kukutetea, lakini kiuhalisia kukutetea kwenye hili inabidi uwe umekunywa gongo kidogo. Lissu nae ameamua hadi kutoa ujumbe wa uongo kwamba Nassari alimpigia kuomba ushauri na akamwambia vikao vya Novemba alikuwepo lakini kwenye press umesema Novemba ni kweli hakuwepo. JE,
1. Ni kwa nini alikataa kuulizwa maswali na waandishi wa habari ambao amewaita yeye mwenyewe?
2. Ni kwamba viongozi wake wanakurupuka hasa Lissu?
3. Ameona ni njia bora ya kuhama chama bila kuzomewa na kuitwa msaliti?
4. Viongozi wake wamewahi kumuonya juu ya utoro wake Bungeni?
5. Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kupitia kwa mnadhimu hawakuwa na taarifa juu ya dharura alizokuwa nazo Mbunge wao?
6. Barua anayodai ametuma kwa Spika, kwa nini haikupita kwenye ofisi ya Kambi rasmi ya Upinzani?
Una uhakika mimi sina uwezo wa kubishana na Mawakili wenzangu mahakamani? Kwahiyo kazi zangu za kila siku nazifanyia wapi? Mkuu, jifunze kuheshimu kazi na tasnia za watu. Achana na huyo Ibambasi anayelazimisha mabishano
Nasari alikosa vikao kwa mujibu ya hicho kifungu cha katiba basi kosa ni dhahiri na adhabu ni kwa mujibu wa hicho kifungu.kama itathibitika kweli kuwa Nassari hakufuata taratibu kwenye sakata hili, atakuwa amedhihirisha the highest level of irresponsibility na sidhani kama hata anastahili tena kuvaa hadhi ya uwakilishi wa wananchi mahala popote, labda akienda CCM ambao wao ni zoazoa tu bora liende!
Leo ndio umeandika kisomi sio huko nyuma unajenga hoja ya HISIA.Ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari umesitishwa/umefutwa katika kile kinachotajwa kuwa hakuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila ruhusa ya Spika wa Bunge. Katika kutekeleza hilo, Ofisi ya Spika imeijenga hoja yake kwa kutumia Ibara ya 71(1)(c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara)ambayo nainakili hapa chini:
71.-(1) Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake katika Bunge litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo-
(a).……………………………….(haihusiki)
(b).……………………………….(haihusiki)
(c) ikiwa Mbunge atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika;
Ni dhahiri kuwa Ibara niliyoinakili hapo juu inazungumzia sababu mojawapo ya kukoma kwa Ubunge wa Mbunge yeyote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.ababu hiyo ni kukosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika. Kulingana na Ibara hiyo, kuna mambo muhimu.
Mosi, Mbunge husika anakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge mitatu mfululizo. Kulingana na sakata la Nassari, Nassari hakuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge mitatu mfululizo. Ni jukumu lake Nassari nje au ndani ya Mahakama kuthibitisha kuwa alihudhuria vikao vya mikutano hiyo ya Bunge ambayo anadaiwa kuwa hakuihudhuria. Katika hilo, hakutakiwi porojo wala siasa, ushahidi unatosha.
Pili, Ibara tajwa inazungumzia ruhusa ya Spika. Ruhusa ni kibali cha kufanya au kutofanya au kusema au kutosema jambo. Katika uga wa kiutumishi, ruhusa huombwa kwa fomu au barua maalum. Mwombaji wa ruhusa huhakikisha kuwa fomu au barua yake imemfikia ipasavyo mtoa ruhusa na hatimaye amepata ruhusa hiyo kupitia fomu hiyo au barua ya mtoa-ruhusa. Hapo ndipo ruhusa ya kufanya au kutofanya au kusema au kutosema huanza.
Tatu, kwa mujibu wa Ibara niliyoinakili hapo juu na sakata zima la Joshua Nassari, mtoa-ruhusa ni Spika wa Bunge. Ni ruhusa ya kutohudhuria vikao vya mikutano ya Bunge ima chini ya mitatu au mitatu. Joshua Nassari, kwa mujibu wa jambo lake, alipaswa kuomba na kupata ruhusa ya Spika wa Bunge ili kutohudhuria vikao vya Mikutano mitatu mfululizo ya Bunge. Kama aliipata ruhusa hiyo, ni wakati wake nje au ndani ya mahakama kuianika ruhusa hiyo. Kulialia na kuomba huruma kutafuata baadaye.
Kwa uelewa wangu, neno 'mfululizo' limetumika kuonyesha ukubwa wa jambo hilo la kukosa kuhudhuria vikao vya mikutano ya Bunge kwakuwa Miukutano ya Bunge hufanyika kila baada ya miezi kadhaa. Kimsingi, mikutano mitatu mfululizo hubeba kipindi kirefu cha kutosha na ndiyo maana Mbunge anapokosa bila ruhusa ya Spika anapaswa kukoma kuwa Mbunge. Joshua Nassari, pamoja na kuiweka mbele hoja ya kumuuguza mkewe, anapaswa kuuambia umma, wapigakura wake na hata Mahakama (kama atakwenda) kuhusu ruhusa yake kutoka kwa Spika.
Kwakuwa suala la Joshua Nassari ni suala nyeti na linaloweza kujengewa nadharia mbalimbali sahihi na potofu, ni wajibu wake kuweka mambo sawa kwa kuanika ruhusa yake kutoka kwa Spika au ushahidi wake kuwa si kweli kuwa hakuhudhuria vikao vya mikutano mitatu mfululizo ya Bunge.Amasivyo, Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu za Bunge zitampiga kumbo kirahisi sana.
Lisu ni mpenda sifa, kila sehemu ye anataka aonekane. Nilisoma andiko lake kumtetea Nasari, lilijaa pumba tupu sema kwakua ana wafuasi mazombie walishangilia sana.Leo Nasari kamkana kuonesha lisu ni mkurupukaji na aliwalisha pumba mifugo wake.Wapinzani wamekuwa wakilalamika na kuona wanaonewa katika kila jambo linalotokea kwao. Inawezekana ni kweli mke wake alikuwa na changamoto, je ni mwanamke huyo tu mwenye changamoto za uzazi? Hivi kama kila mwanaume ataamua kukaa nyumbani kulea mimba ya mke wake kwa miezi tisa kazi zitafanyika kweli? Wakati mwingine tuwe serious bhana, Joshua hapa amechemka.
Japo naona baadhi ya viongozi wake wamejaribu kukubeba na kukutetea, lakini kiuhalisia kukutetea kwenye hili inabidi uwe umekunywa gongo kidogo. Lissu nae ameamua hadi kutoa ujumbe wa uongo kwamba Nassari alimpigia kuomba ushauri na akamwambia vikao vya Novemba alikuwepo lakini kwenye press umesema Novemba ni kweli hakuwepo. JE,
1. Ni kwa nini alikataa kuulizwa maswali na waandishi wa habari ambao amewaita yeye mwenyewe?
2. Ni kwamba viongozi wake wanakurupuka hasa Lissu?
3. Ameona ni njia bora ya kuhama chama bila kuzomewa na kuitwa msaliti?
4. Viongozi wake wamewahi kumuonya juu ya utoro wake Bungeni?
5. Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kupitia kwa mnadhimu hawakuwa na taarifa juu ya dharura alizokuwa nazo Mbunge wao?
6. Barua anayodai ametuma kwa Spika, kwa nini haikupita kwenye ofisi ya Kambi rasmi ya Upinzani?
Ila magufuli kuchukua hela za uhuru kununua vifaa vya hospital wanataka sheria na taratibu zitumike.Kuhusu suala hili Chadema hawataki kanuni, sheria au katiba itumike; wanataka ''busara za Spika''.
Ahsante sanaUbunge wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari umesitishwa/umefutwa katika kile kinachotajwa kuwa hakuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila ruhusa ya Spika wa Bunge. Katika kutekeleza hilo, Ofisi ya Spika imeijenga hoja yake kwa kutumia Ibara ya 71(1)(c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara)ambayo nainakili hapa chini:
71.-(1) Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake katika Bunge litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo-
(a).……………………………….(haihusiki)
(b).……………………………….(haihusiki)
(c) ikiwa Mbunge atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika;
Ni dhahiri kuwa Ibara niliyoinakili hapo juu inazungumzia sababu mojawapo ya kukoma kwa Ubunge wa Mbunge yeyote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.ababu hiyo ni kukosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika. Kulingana na Ibara hiyo, kuna mambo muhimu.
Mosi, Mbunge husika anakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge mitatu mfululizo. Kulingana na sakata la Nassari, Nassari hakuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge mitatu mfululizo. Ni jukumu lake Nassari nje au ndani ya Mahakama kuthibitisha kuwa alihudhuria vikao vya mikutano hiyo ya Bunge ambayo anadaiwa kuwa hakuihudhuria. Katika hilo, hakutakiwi porojo wala siasa, ushahidi unatosha.
Pili, Ibara tajwa inazungumzia ruhusa ya Spika. Ruhusa ni kibali cha kufanya au kutofanya au kusema au kutosema jambo. Katika uga wa kiutumishi, ruhusa huombwa kwa fomu au barua maalum. Mwombaji wa ruhusa huhakikisha kuwa fomu au barua yake imemfikia ipasavyo mtoa ruhusa na hatimaye amepata ruhusa hiyo kupitia fomu hiyo au barua ya mtoa-ruhusa. Hapo ndipo ruhusa ya kufanya au kutofanya au kusema au kutosema huanza.
Tatu, kwa mujibu wa Ibara niliyoinakili hapo juu na sakata zima la Joshua Nassari, mtoa-ruhusa ni Spika wa Bunge. Ni ruhusa ya kutohudhuria vikao vya mikutano ya Bunge ima chini ya mitatu au mitatu. Joshua Nassari, kwa mujibu wa jambo lake, alipaswa kuomba na kupata ruhusa ya Spika wa Bunge ili kutohudhuria vikao vya Mikutano mitatu mfululizo ya Bunge. Kama aliipata ruhusa hiyo, ni wakati wake nje au ndani ya mahakama kuianika ruhusa hiyo. Kulialia na kuomba huruma kutafuata baadaye.
Kwa uelewa wangu, neno 'mfululizo' limetumika kuonyesha ukubwa wa jambo hilo la kukosa kuhudhuria vikao vya mikutano ya Bunge kwakuwa Miukutano ya Bunge hufanyika kila baada ya miezi kadhaa. Kimsingi, mikutano mitatu mfululizo hubeba kipindi kirefu cha kutosha na ndiyo maana Mbunge anapokosa bila ruhusa ya Spika anapaswa kukoma kuwa Mbunge. Joshua Nassari, pamoja na kuiweka mbele hoja ya kumuuguza mkewe, anapaswa kuuambia umma, wapigakura wake na hata Mahakama (kama atakwenda) kuhusu ruhusa yake kutoka kwa Spika.
Kwakuwa suala la Joshua Nassari ni suala nyeti na linaloweza kujengewa nadharia mbalimbali sahihi na potofu, ni wajibu wake kuweka mambo sawa kwa kuanika ruhusa yake kutoka kwa Spika au ushahidi wake kuwa si kweli kuwa hakuhudhuria vikao vya mikutano mitatu mfululizo ya Bunge.Amasivyo, Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu za Bunge zitampiga kumbo kirahisi sana.
Karibu tena MkuuAhsante sana
Huna lolote,uCCM tu umekujaa....Leo ndio umeandika kisomi sio huko nyuma unajenga hoja ya HISIA.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
point ya msing, mkuu humu sio wote mtaenda sawa wakat mwingne unaachana na post unazoona zinakupmaAlafu mkuu mtu professional kama wewe inabidi uwe makini sana endapo mtu ana ku provoke kwenye nyuzi zako, wengine tupo kuwatoa mtu kwenye mood, na wengine kejeli ni nyingi, na wengine tupo kuchochea kejeli kuona muhusika ata react vipi,
Comment nyingine unaachana nazo mkuu,
Hivi akili zetu zimekuwa za mgando kiasi kila issue ni lazima tuingize uccm au cdm etc? Hivi hil jamvi hivi sasa limekuwa limejaa na irrational thinkers? Hivi kwa watu wa aina hii, tunaweza kufika popote?Huna lolote,uCCM tu umekujaa....
ndiyo mkuupoint ya msing, mkuu humu sio wote mtaenda sawa wakat mwingne unaachana na post unazoona zinakupma
ChademaNi CHADEMA au Nassari?
Hatuwezi fika mzee..mijamaa si ni mavibaraka na matumwa ya wenye fedha..jua hiloHivi akili zetu zimekuwa za mgando kiasi kila issue ni lazima tuingize uccm au cdm etc? Hivi hil jamvi hivi sasa limekuwa limejaa na irrational thinkers? Hivi kwa watu wa aina hii, tunaweza kufika popote?
Hahahaha ccm ndio wamekuwa zoazoa sasa hivi..sio chadema ambao walizoa zoa makapi ya ccm wakati ule..wakabeba mpaka watuhumiwa wa ufisadi..ina maana mara hii umeshasahau kamanda...sisi wengine hatusahau kamwe...kama itathibitika kweli kuwa Nassari hakufuata taratibu kwenye sakata hili, atakuwa amedhihirisha the highest level of irresponsibility na sidhani kama hata anastahili tena kuvaa hadhi ya uwakilishi wa wananchi mahala popote, labda akienda CCM ambao wao ni zoazoa tu bora liende!