Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Bariadi Mashariki agombea Urais wa TLS

lord atkin

Senior Member
Sep 30, 2018
197
683
Wanajamvi salaam!

Kumekucha uchaguzi wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS)

Yule gwiji wa sheria za makampuni, na kada Maarufu wa CHADEMA aliyewahi kuwa mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mkuu 2015 akichuana na Chenge Bariadi agombea urais TLS. Mwanasheria Godwin Ngwilimi ambaye pia amewahi kuwa Mwanasheria wa CHADEMA Serengeti ni mmojawapo wa wagombea wanaowania kumrithi Wakili msomi Fatma Karume akichuana na wagombea wengine watano.
IMG-20190401-WA0174.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app

Wagombea wengine kwenye nafasi hiyo ya Urais wa TLS ni Dk. Rugemeleza Nshala, John Seka, Godfrey Wasonga na Gaspar Mwanalyela.

Wakati nafasi ya makamu wa Rais ikiwa na mgombea mmoja tu ambaye ni Mpale Mpoki.

Wagombea wengine kwenye kamati ya uongozi ni Harold Sungusia, Angelista Nashoni, Jebra Kambole, Jeremiah Mtobesya nk

Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika katika mkutano wa TLS utakaoanza April 5 Jijini Arusha.
 
Kumbe TLS ni Chadema B,naamini Kipanya,Maria Sarungi wangekuwa wanasheria wangegombea umakamu raisi wa TLS
 
Back
Top Bottom